Watanzania msipotoshwe na hoja za kiukaguzi (Audit queries) maana sio hitimisho kuwa ni ufisadi, zikipatiwa majibu ukweli hujulikana

Watanzania msipotoshwe na hoja za kiukaguzi (Audit queries) maana sio hitimisho kuwa ni ufisadi, zikipatiwa majibu ukweli hujulikana

Kwa hiyo wale wa hati chafu nao tuseme wameonewa flani hivi?

naposema 1.5T zilikuja kupata majibu, UNAWEZA UKATUWEKEA HAPA HAYO MAJIBU? Maana binafsi sikuwahi kuyasikia majibu halisi, ila akina Polepole kujaribu kutueleza mara Zanzibar, mara sijui nini!...
Hati chafu ni audit query?
 
Kigwa wewe ni MWIZI kubali tu...

Screenshot_20210409-175852.jpg
 
Ukweli ndio huo wa CAG Kwani yote Aliyoandoka Ameambiwa na Wahusika wenyewe Kwa hiyo Tusubiri ukweli kuwa ATCL IMEPATA FAIDA?
 
Mleta mada nenda kalinde kaburi acha kuhojoka hapa. Unazungumzia PAC hii ya CCM ambayo kazi yake ni kulinda Serikali? Zile 1.5 trilioni majibu gani ya maana ulipewa? Zile hesabu za MAGAZIJUTO za Polepole?
 
Kwahiyo wale wa hati chafu nao tuseme wameonewa flani hivi?

naposema 1.5T zilikuja kupata majibu, UNAWEZA UKATUWEKEA HAPA HAYO MAJIBU? Maana binafsi sikuwahi kuyasikia majibu halisi, ila akina Polepole kujaribu kutueleza mara Zanzibar, mara sijui nini!...
kuna jibu gani zuri la kunieleza nielewi kwa nini kuna hasara kubwa kwenye taasisi za serikali? hasara ni hasara tu. Hapo ni wajipange wasipate hasara. Wawe na mikakati thabiti kuzuia hasara za baadae.
 
Huu ni utaratibu wa kawaida katika kufanya ukaguzi wa matumizi, au taratibu za ujenzi. Kwamba mkaguzi ataibua hoja ya kuwa na wasiwasi juu ya anachokagua pale panapotokea kuwa hakuna vielelezo vya kile anachohoji ili kuthibitisha. Hivyo baada ya kuibua hoja hizo majibu ya uhakika huwa yanahitajika..
msituchoshe sisi the common Mwananchi wote tunajua na tumesomeshwa auditing I & II. wizi ni wizi tu
 
Hatudanganyiki,Magufuli alikuwa fisadi!Kabla ya CAG kuwasilisha ripoti yake kwa uma mafisadi walishapewa muda wa kujibu hoja zao ila wakashindwa kwa sababu ufisadi wao ulikuwa wazi na dhahiri.Usifikiri kuwa hatujui kitu,kabla ya CAG kuleta ripoti yake katika uma huwa anatoa muda wa hoja kujibiwa.
 
Yaani tukubali kupotoshwa na wew lizombie tumpuze CAG? Misukule ya Jiwe mnapata tabu sana
Haya sikiliza majibu ya Feasibility Study ambayo CAG alipotosha watz. Hivyo hiyo Audit Query yake imeshafugwa tayari haina mashiko.

Back
Top Bottom