Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
- Thread starter
- #21
AhaaaHivi wewe unajidhania una uelewa mkubwa kuliko tuliomo kwenye jukwaa hili? Wengi humu wana uelewa na akili, zaidi ya wewe unayetaka uwafundishe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AhaaaHivi wewe unajidhania una uelewa mkubwa kuliko tuliomo kwenye jukwaa hili? Wengi humu wana uelewa na akili, zaidi ya wewe unayetaka uwafundishe.
Hati chafu ni audit query?Kwa hiyo wale wa hati chafu nao tuseme wameonewa flani hivi?
naposema 1.5T zilikuja kupata majibu, UNAWEZA UKATUWEKEA HAPA HAYO MAJIBU? Maana binafsi sikuwahi kuyasikia majibu halisi, ila akina Polepole kujaribu kutueleza mara Zanzibar, mara sijui nini!...
Wapi nimetetea?Kazi yako ni kutetea ufisadi tu
Ahaaa, mbona unakomaa kuhusu Atcl? Subiri majibu.Ukweli ndio huo wa CAG Kwani yote Aliyoandoka Ameambiwa na Wahusika wenyewe Kwa hiyo Tusubiri ukweli kuwa ATCL IMEPATA FAIDA?
Imetokana na audit queryHati chafu ni audit query?
Pole Pole Humphrey 😁😁😁Majibu ya 1.5 alitoa nani
Jibu swali?Imetokana na audit query
kuna jibu gani zuri la kunieleza nielewi kwa nini kuna hasara kubwa kwenye taasisi za serikali? hasara ni hasara tu. Hapo ni wajipange wasipate hasara. Wawe na mikakati thabiti kuzuia hasara za baadae.Kwahiyo wale wa hati chafu nao tuseme wameonewa flani hivi?
naposema 1.5T zilikuja kupata majibu, UNAWEZA UKATUWEKEA HAPA HAYO MAJIBU? Maana binafsi sikuwahi kuyasikia majibu halisi, ila akina Polepole kujaribu kutueleza mara Zanzibar, mara sijui nini!...
Kabisa, tena kuna wengine wanakuja hoja mfu kabisa...!!!Inashangaza sana kuona mtu anajitoa akili anaanza kutetea ujinga
Makalio yake yamesagika kinoma kwa kupiga nyanga usiku kucha, na safari hii atatoa watoto wote kafara nyie subirini tu.Kigangwala wewe lala mkuu, tumeshakuelewa
Duh!Makalio yake yamesagika kinoma kwa kupiga nyanga usiku kucha, na safari hii atatoa watoto wote kafara nyie subirini tu.
msituchoshe sisi the common Mwananchi wote tunajua na tumesomeshwa auditing I & II. wizi ni wizi tuHuu ni utaratibu wa kawaida katika kufanya ukaguzi wa matumizi, au taratibu za ujenzi. Kwamba mkaguzi ataibua hoja ya kuwa na wasiwasi juu ya anachokagua pale panapotokea kuwa hakuna vielelezo vya kile anachohoji ili kuthibitisha. Hivyo baada ya kuibua hoja hizo majibu ya uhakika huwa yanahitajika..
Haya sikiliza majibu ya Feasibility Study ambayo CAG alipotosha watz. Hivyo hiyo Audit Query yake imeshafugwa tayari haina mashiko.Yaani tukubali kupotoshwa na wew lizombie tumpuze CAG? Misukule ya Jiwe mnapata tabu sana
Hatudanganyiki,Magufuli alikuwa fisadi!Kabla ya CAG kuwasilisha ripoti yake kwa uma mafisadi walishapewa muda wa kujibu hoja zao ila wakashindwa kwa sababu ufisadi wao ulikuwa wazi na dhahiri.Usifikiri kuwa hatujui kitu,kabla ya CAG kuleta ripoti yake katika uma huwa anatoa muda wa hoja kujibiwa.