Watanzania msitishwe na majeshi kama wananchi hawamtaki mtawala Bunduki na majeshi hazisaidii

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
2,268
Reaction score
7,119
What entails to be a socila contract in Tanzania ni ibara ya 8 (1)(a) ya katiba ya JMT.

Hapa ndipo wanaanchi kwa kutumia kura zao huweka serikali madarakani kwa manufaa yao.

Mtawala.anayedhania majeshi yatamlinda bila kufikiria wananchi anajidanganya.
 
What entails to be a socila contract in Tanzania ni ibara ya 8 (1)(a) ya katiba ya JMT.

Hapa ndipo wanaanchi kwa kutumia kura zao huweka serikali madarakani kwa manufaa yao.

Mtawala.anayedhania majeshi yatamlinda bila kufikiria wananchhi anajidanganya.
Acha utani jomba kumbuka 29 Octomber, tulidhani watauua tu 10 au 20 lakini maelefu waliuua achana na viongozi wa Africa, there ready for any thing kubaki madarakani
 
Matumizi ya mabavu hayajawahi kuleta ushindi wa kudumu. Kiufundi, kuendekeza matumizi ya mabavu ni kupanda na kumwagilia maji mbegu ya anguko linalofedhehesha!
 
Back
Top Bottom