Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Wanakata sana hela kiholela.Kama unajijua una pesa za mawazo nakushaur usije ukathubutu kuziweka pesa zako bank eti kuzihifadhi utakuja kujuta, hali ni mbaya Sana serikali inakwapua pesa za walalahoi bila chembe YA Huruma
#Tonzonia nchi ya kusadikika.
ndani ya wiki moja nakuja kustukia account yangu ina 56230/~ kutoka laki 3 na ishirini.Inawezekana kuna ukweli,jana nimekaa nikakuta msg ya NMB,kiasi Cha shilingi 99,475.26 kimetolewa kwenye account yako inayoishia 770 nikashtuka,nimewapigia nikaongea na huduma Kwa wateja majibu sijaelewa kabisa nimehisi tayari nimepigwa.
Kesho nitapita Tawi moja wakanipe majibu
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]umejiongezaDuuu hili lilifanya nikanunua nyumba fasta bila ya kujenga.
Huwa hela ikiingia bank naitoa yote..naweka kwenye sakosi na safe.Ni kweli Kama mshahara wako ni laki 7 kushuka chini ni afadhali ulipwe mkononi ukae nazo mfukoni
Cha zaidi utaambiwa uliitoa kwa wakala wakati hakuna kabisa mwenye access na kadi yako zaidi yako. Ni wezi hatari.Ndio umeandika uhuni gani, kuna Benki inakosa maelezo?
Kuna Uzi nimeupandisha sasa hivi nimefikiria nje ya box kwa haraka ebu usomeCha zaidi utaambiwa uliitoa kwa wakala wakati hakuna kabisa mwenye access na kadi yako zaidi yako. Ni wezi hatari.