Watanzania msiweke pesa Benki

Watanzania msiweke pesa Benki

Inawezekana kuna ukweli,jana nimekaa nikakuta msg ya NMB,kiasi Cha shilingi 99,475.26 kimetolewa kwenye account yako inayoishia 770 nikashtuka,nimewapigia nikaongea na huduma Kwa wateja majibu sijaelewa kabisa nimehisi tayari nimepigwa.

Kesho nitapita Tawi moja wakanipe majibu
 
Kama unajijua una pesa za mawazo nakushaur usije ukathubutu kuziweka pesa zako bank eti kuzihifadhi utakuja kujuta, hali ni mbaya Sana serikali inakwapua pesa za walalahoi bila chembe YA Huruma

#Tonzonia nchi ya kusadikika.
Wanakata sana hela kiholela.
Huyu mama atatukamua hadi tubaki mifupa!

Yaani njia sahihi anayoiona ya kuongeza kipato ni kutoka kwa wananchi kupitia tozo na makato yasiyo rasmi, na kukopa!
Hakuna mbadala! Aisee!
 
Inawezekana kuna ukweli,jana nimekaa nikakuta msg ya NMB,kiasi Cha shilingi 99,475.26 kimetolewa kwenye account yako inayoishia 770 nikashtuka,nimewapigia nikaongea na huduma Kwa wateja majibu sijaelewa kabisa nimehisi tayari nimepigwa.

Kesho nitapita Tawi moja wakanipe majibu
ndani ya wiki moja nakuja kustukia account yangu ina 56230/~ kutoka laki 3 na ishirini.
nilienda nmb kuuliza hakuna wanachonijibu wananitolea statement, nashangaa kutoa statement ya page mbili nayo wamekata elfu10. nikachomoa ka arobaini kalilobaki nimeapa sitotumia bank tena kuhifadhi visent
 
Back
Top Bottom