Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,205
- 33,287
Mimi huchimbia ardhini nyuma ya kibanda changu😄Huwa hela ikiingia bank naitoa yote..naweka kwenye sakosi na safe.
#MaendeleoHayanaChama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi huchimbia ardhini nyuma ya kibanda changu😄Huwa hela ikiingia bank naitoa yote..naweka kwenye sakosi na safe.
#MaendeleoHayanaChama
Weka chini ya uvungu au kazichimbie chini ya mti porini🤷♂️Daah NMB walinikata 150,000 sina hamu nao kabisa, CRDB nao wale wale tu
aisee, hizi bank za ndani ndo zina shida.Ni kweli, Nina akaunti crdb nimeamua kuilinda tu kwa kuiwekea hela Ili wasinifungie, ni wanakata mno
@NMB Tanzania ni ya kweli haya?Inawezekana kuna ukweli,jana nimekaa nikakuta msg ya NMB,kiasi Cha shilingi 99,475.26 kimetolewa kwenye account yako inayoishia 770 nikashtuka,nimewapigia nikaongea na huduma Kwa wateja majibu sijaelewa kabisa nimehisi tayari nimepigwa.
Kesho nitapita Tawi moja wakanipe majibu
Nikiweka chini ya mti nitakuelekezaWeka chini ya uvungu au kazichimbie chini ya mti porini🤷♂️
@NMB Tanzania ni ya kweli.haya?ndani ya wiki moja nakuja kustukia account yangu ina 56230/~ kutoka laki 3 na ishirini.
nilienda nmb kuuliza hakuna wanachonijibu wananitolea statement, nashangaa kutoa statement ya page mbili nayo wamekata elfu10. nikachomoa ka arobaini kalilobaki nimeampa sitotumia bank tena kuhifadhi visent
Tumia NMB App kuangalia salio ni bureMnanitisha NMB wana kaela kangu,
Na hivyo huwa siangalii Salio mara kwa mara.
Usikute wanakata isivyotakiwa.
😁😁😁Mtakua mmekatwa michango ya uanachama wa ccm 😂
Equity na Diamond Trust nasikia ni wazuriHamia Equity hutojuta 😎
Yaani unanunua dollar alafu?Anzeni nunua dollar angalau uwe na dollar 20,000 cash maana siku yoyote hii nchi inaweza iba pesa za watu
ipo siku nawe yatakukuta ushangaeNdio umeandika uhuni gani, kuna Benki inakosa maelezo?