Watanzania msiweke pesa Benki

Watanzania msiweke pesa Benki

Mnanitisha NMB wana kaela kangu,

Na hivyo huwa siangalii Salio mara kwa mara.
Usikute wanakata isivyotakiwa.
 
Inawezekana kuna ukweli,jana nimekaa nikakuta msg ya NMB,kiasi Cha shilingi 99,475.26 kimetolewa kwenye account yako inayoishia 770 nikashtuka,nimewapigia nikaongea na huduma Kwa wateja majibu sijaelewa kabisa nimehisi tayari nimepigwa.

Kesho nitapita Tawi moja wakanipe majibu
@NMB Tanzania ni ya kweli haya?
 
ndani ya wiki moja nakuja kustukia account yangu ina 56230/~ kutoka laki 3 na ishirini.
nilienda nmb kuuliza hakuna wanachonijibu wananitolea statement, nashangaa kutoa statement ya page mbili nayo wamekata elfu10. nikachomoa ka arobaini kalilobaki nimeampa sitotumia bank tena kuhifadhi visent
@NMB Tanzania ni ya kweli.haya?
 
Anzeni nunua dollar angalau uwe na dollar 20,000 cash maana siku yoyote hii nchi inaweza iba pesa za watu
 
Back
Top Bottom