Watanzania mtashangaa Katibu Mwenezi CCM atakayeteuliwa leo, msihofu

CCM ni walewale.Sasa cha kushangaza kitakuwa nini?Kwamba shetani ka-pruni mapembe yake yamekuwa mafupi na butu?
 
Yaani CCM yenye hazina ya wanachama wenye sifa, uwezo na weledi wengi namna ile iwe na hofu?
Acheni utani bas?πŸ’

hofu ya nini sasa kwa mfano kwa vifaa vya kazi vyote vile ndrugu zango πŸ’

uzuri ni kwamba hukuna asie faa hata moja kwenye nafasi ile, wote ni majembe tuπŸ’
 
Lazima awe samaleko
 
Shida kibwa ya CCM na wanachama wake ni kudhania kuwa taifa zima ni CCM na tunashiriki shughuli zenu za chama.

Huu ni ukosefu wa akili na maadili ya kidemokrasia.
Kabisa πŸ’― πŸ‘πŸ‘πŸ™
 
Shida kibwa ya CCM na wanachama wake ni kudhania kuwa taifa zima ni CCM na tunashiriki shughuli zenu za chama.

Huu ni ukosefu wa akili na maadili ya kidemokrasia.
Wanasema hiyo ndo maana halisi ya chama dola, mambo ya chama na serikali yanachanganyikana humo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…