Watanzania mtawaweza waturuki?

Watanzania mtawaweza waturuki?

Slim dady

Member
Joined
Apr 15, 2020
Posts
43
Reaction score
343
Nawauliza wale wazee wakucoment insagram mtawaweza waarabu wa ulaya kujaza comment
 
Jumong.....

Hapa wakorea waliiguza bwana...sio vimovie vya kitoto wanavyovitoa sikuhizi.

Namkumbuka tu Mopalmo.. pehaaaaa
Acha kabisa mkuu, yani walifiti sana kila idara walipanga wahusika vizuri na hii ndiyo muvi yangu bora ya muda wote ,darasa na burudani tosha ..
 
Merhaba Fenerbehçe patronları, birlikteyiz ve samatta kaptanı diego'yu ağırladığınız için çok teşekkür ederiz, oradan başlamak zorunda, tüm kazanan komiteler orada [emoji1241] düşünmeyin
 
Ipo Instagram page Yao inaendeshwa kwa lugha ya Kiswahili
 
Waturuki ni waarabu pekee walioko bara la ulaya mkuu.
Waturuki sio waarabu kabisa .
Asili ya waturuki ni jamii ya anatolians ambayo ilipitakina ulaya na kati mwa bara la asia. na kituruki ni moja ya lugha anatolians na sio semitic languages kama kiarabu na kiyahudi

Hivyo ukisikia turkish people maana yake Anatolian Turks , watu wanaoongea kituruki na mababu ni waturks.
Waturuki walianza kukutana na waarabu wakati dola za kiislamu zikitanuka na kuanguka kwa roman empire upande mashariki ilikuwa inaitwa byzantine empire mji mkuu ulikuwa ni instanbul kipindi hiko uliitwa constantinople.
Hizi source zinaweza kukupa uwelewa kuhusu waturuki.
Turkish people - Wikipedia
Anatolian languages - Wikipedia
Are Turkish people Arabs? - Quora
 
Waturuki ni waarabu, kwanza ipo middle east, pili ilikuwa Ottoman empire, tatu kama sikosei ilitawaliwa na Ugiriki.
Waturuki sio Waarabu. Ottoman Turks and Kurds of present day Turkey, and Persians of present day Iran aren't Arabs.

Persians wana Iran. Turks wana Turkey. Wakurdi ndo hawakupewa nchi yao ndo maana wana fujo hawafit kila eneo. Wangekuwa Waarabu wangemezwa na Iraq au Syria.
 
Waturuki ni waarabu, kwanza ipo middle east, pili ilikuwa Ottoman empire, tatu kama sikosei ilitawaliwa na Ugiriki.
1. Hata Israel iko Middle East.
2. Eneo la Israel ya sasa lilikuwa Ottoman empire wakati huo Israel haipo ipo Palestine.
3. Sidhani kama Ugiriki iliwahi tawala eneo lolote, kwanza haikuwa nchi bali ilikuwa ni miji ( city states) flani imestaarabika. Miji kama Athens, Sparta na Corinth. Ndo maana hujawahi sikia mfalme wa Ugiriki kama ulivosikia wafalme wa Roman Empire.
 
Sahihi, ila waturuki ni mchanganyiko ila wapo katika eneo la ukanda wakiarabu baina ya middle east hapo kaskazini ya afrika
Na ndio maana kila siku inasemwa lile eneo ni la palestine. Kwani Israel haikuwepo.
 
Kwa hivyo vigezo hapo juu ulivyotumia kusema Waturuki ni Waarabu si sahihi kwa vile utataka umaanishe pia Wayahudi ni Waarabu.
 
Kwa hivyo vigezo hapo juu ulivyotumia kusema Waturuki ni Waarabu si sahihi kwa vile utataka umaanishe pia Wayahudi ni Waarabu.
Sawa. Ila tunaangalia asili yao na kwa ukanda wanaopatikana. Pia miongoni mwa dola zilizotawala ukanda huo ni za Kiarabu ambazo pia zilishika hadi Ulaya ya kusini. Uturuki ni nchi pekee iliyojiunga na umoja wa ulaya yenye asili ya kiarabu. Na pia ni waislam wenye asili ya Sunni. Waislam wenye asili ya Sunni wengi wao ni waarabu ambapo madhehebu mengine ya Kiislam wana asili ya Persia, ikiwemo Iran na Iraq.
 
Turkey sio waarabu.ila watu wanalazimisha wawe waarabu kama wanavyolazimisha Iran kuitwa waarabu ilhali asili ya mtu haipotei na hasa ikiwa imeandikwa.
 
Sawa. Ila tunaangalia asili yao na kwa ukanda wanaopatikana. Pia miongoni mwa dola zilizotawala ukanda huo ni za Kiarabu ambazo pia zilishika hadi Ulaya ya kusini. Uturuki ni nchi pekee iliyojiunga na umoja wa ulaya yenye asili ya kiarabu. Na pia ni waislam wenye asili ya Sunni. Waislam wenye asili ya Sunni wengi wao ni waarabu ambapo madhehebu mengine ya Kiislam wana asili ya Persia, ikiwemo Iran na Iraq.
Elimu haba udhia
 
Back
Top Bottom