Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jumong.....Cc ujugu
Acha kabisa mkuu, yani walifiti sana kila idara walipanga wahusika vizuri na hii ndiyo muvi yangu bora ya muda wote ,darasa na burudani tosha ..Jumong.....
Hapa wakorea waliiguza bwana...sio vimovie vya kitoto wanavyovitoa sikuhizi.
Namkumbuka tu Mopalmo.. pehaaaaa
Waturuki sio waarabu broNawauliza wale wazee wakucoment insagram mtawaweza waarabu wa ulaya kujaza comment
Waturuki ni waarabu, kwanza ipo middle east, pili ilikuwa Ottoman empire, tatu kama sikosei ilitawaliwa na Ugiriki.Waturuki sio waarabu bro
Waturuki ni waarabu pekee walioko bara la ulaya mkuu.Waturuki sio waarabu bro
Waturuki sio waarabu kabisa .Waturuki ni waarabu pekee walioko bara la ulaya mkuu.
Nyambafu nyie ndo wale mlosoma na babalevo ww upo dunia ipi?...Waturuki sio waarabu bro
Waturuki sio Waarabu. Ottoman Turks and Kurds of present day Turkey, and Persians of present day Iran aren't Arabs.Waturuki ni waarabu, kwanza ipo middle east, pili ilikuwa Ottoman empire, tatu kama sikosei ilitawaliwa na Ugiriki.
1. Hata Israel iko Middle East.Waturuki ni waarabu, kwanza ipo middle east, pili ilikuwa Ottoman empire, tatu kama sikosei ilitawaliwa na Ugiriki.
Sahihi, ila waturuki ni mchanganyiko ila wapo katika eneo la ukanda wakiarabu baina ya middle east hapo kaskazini ya afrika1. Hata Israel iko Middle East.
2. Eneo la Israel ya sasa lilikuwa Ottoman empire wakati huo Israel haipo ipo Palestine.
3. Sidhani kama Ugiriki iliwahi tawala eneo lolote, kwanza haikuwa nchi bali ilikuwa ni miji ( city states) flani imestaarabika. Miji kama Athens, Sparta na Corinth. Ndo maana hujawahi sikia mfalme wa Ugiriki kama ulivosikia wafalme wa Roman Empire.
Kwa hivyo vigezo hapo juu ulivyotumia kusema Waturuki ni Waarabu si sahihi kwa vile utataka umaanishe pia Wayahudi ni Waarabu.Sahihi, ila waturuki ni mchanganyiko ila wapo katika eneo la ukanda wakiarabu baina ya middle east hapo kaskazini ya afrika
Na ndio maana kila siku inasemwa lile eneo ni la palestine. Kwani Israel haikuwepo.
Sawa. Ila tunaangalia asili yao na kwa ukanda wanaopatikana. Pia miongoni mwa dola zilizotawala ukanda huo ni za Kiarabu ambazo pia zilishika hadi Ulaya ya kusini. Uturuki ni nchi pekee iliyojiunga na umoja wa ulaya yenye asili ya kiarabu. Na pia ni waislam wenye asili ya Sunni. Waislam wenye asili ya Sunni wengi wao ni waarabu ambapo madhehebu mengine ya Kiislam wana asili ya Persia, ikiwemo Iran na Iraq.Kwa hivyo vigezo hapo juu ulivyotumia kusema Waturuki ni Waarabu si sahihi kwa vile utataka umaanishe pia Wayahudi ni Waarabu.
Elimu haba udhiaSawa. Ila tunaangalia asili yao na kwa ukanda wanaopatikana. Pia miongoni mwa dola zilizotawala ukanda huo ni za Kiarabu ambazo pia zilishika hadi Ulaya ya kusini. Uturuki ni nchi pekee iliyojiunga na umoja wa ulaya yenye asili ya kiarabu. Na pia ni waislam wenye asili ya Sunni. Waislam wenye asili ya Sunni wengi wao ni waarabu ambapo madhehebu mengine ya Kiislam wana asili ya Persia, ikiwemo Iran na Iraq.