Watanzania muache huu ushamba mnapofika majuu

[emoji28][emoji28][emoji28]
Et uswahilini pale nyakato. . .
Mi nashukuru tu leo mwanamke hajausishwa katika ulichoandika apo
Kwani ulijua mtanashati na story zake za tunda
 
Haaaah unarusha jiwe gizani wewe ila kama nakuelewa hivi unamlenga MTU......

But any way umeongea ukweli uo ni ulimbukeni.....
 
ki

kiswahili chako na maeneo ulotaja inaonekana ww ni ngosha bhas usisaha hata akna ngosha wenzako kama kubaja,magabilo wanapata shida sana huku dah kwa ushamba!!!!na hapo bdo hata majuu hawajaenda
Aisee Laiti ungejua mimi ni wawapi hahahhahah
 
Mie naitwa MISOJI sasa sijui nikienda kule nijiiteje! msaada kwenye tuta please!
 
Hahahaaaaa hii kali
 
Aaah wapi, tatizo sisi ndo tunajipa kiherere hicho lakini wao wakija kwetu utakuta mzungu anajina gumu zaidi ya maisha ya awamu hii lakini hata haangaiku kulibadilisha
 
Hahhaha...
Alafu mkuu ID yako inanikumbusha mapango ya Tanga...

Ninajaribu kutangaza utalii wa ndani mkuu; sio kila siku mlima Kilimanjaro, Serengeti na Zanzibar tu. Kuna na Mapango ya Amboni-Tanga. Usipoyatangaza majirani wanaweza dai yako kwao!
 
Haaaah unarusha jiwe gizani wewe ila kama nakuelewa hivi unamlenga MTU......

But any way umeongea ukweli uo ni ulimbukeni.....
Shukrani kama tupo pamoja mkuu
 
Ninajaribu kutangaza utalii wa ndani mkuu; sio kila siku mlima Kilimanjaro, Serengeti na Zanzibar tu. Kuna na Mapango ya Amboni-Tanga. Usipoyatangaza majirani wanaweza dai yako kwao!
Yeah mi niliyapenda yale mapango ya pili yale ya jinsia.. Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…