Watanzania muache huu ushamba mnapofika majuu

Watanzania muache huu ushamba mnapofika majuu

Wazungu wanapata tabu kuita jina la kiafrica baruti anaweza kujing'ata ulimi akitaka kutamka. Inabidi uchague jina rahisi ktk mazingira yanayokuzunguka.

Hata kuvaa nguo usivae kibongo bongo vaa kutokana na mazingira yao. Hata swagga za kuongea pia sio mbaya ukitumia za kwao

Ukikaa kiswazi sana unaonekana wakuja
 
OOOOOPS! ahsante mola angalau leo wanawake umetupumzisha kidogo.
 
Hahahahaha...imeshakuwa Hussein baruti tena!
 
Back
Top Bottom