Watanzania mushanifahamu?! Tumeliwa!

Watanzania mushanifahamu?! Tumeliwa!

ansebaluu

Member
Joined
Aug 15, 2013
Posts
21
Reaction score
9
Kwa wale wanao fuatilia mchakato wa bunge maalumu la katiba washanifahamu. Kuna mambo yanayoendelea yanayoshadidisha kuwa mchakato wote wakutafuta rasimu ulikua Bure 1. Mtu ukiangalia kwa umakini utagundua kuwa au kuna dalili kuwa mafisadi tayari wana mkono wao. 2. Hakuna nia thabiti au mujaradi ya kupata katiba mpya! ""Rejea msimamo Wa chama tawala " au rejea mbilingembilinge za kuamua kura ya kuchagua mwenyekiti Iwe ya Siri au ya wazi! 3. Badala ya kuzungumzia rasimu na mchakato wa kupata mwenyekiti bora wajumbe wakaanza kuzungumzia posho! Mshanifahamu! 4. Sasa ndugu zangu ombeni watu wasio na viwango wapite' wakipita tutajuta miaka! Mshanifahamu ? 5. Mbaya zaidi watanzania wengi si wafatiliaji Wa siasa hasa watu Wa bara tofauti name Zanzibar. Mshanifahamu? Dalili za kuliwa naziona. Mshanifahamu
 
Acha kutudhalilisha Watanganyika! Tuko makini sana kuliko unavyofikiri wewe!
Hata hivyo nakubaliana na wewe kuwa nia ya dhati ya kupata Katiba mpya haipo, ndio maana watu tunachukua muda mrefu wa kujadili "namna ya kujadili" kuliko "kujadili kwenyewe!"
 
acha kutudhalilisha watanganyika! Tuko makini sana kuliko unavyofikiri wewe!
Hata hivyo nakubaliana na wewe kuwa nia ya dhati ya kupata katiba mpya haipo, ndio maana watu tunachukua muda mrefu wa "namna ya kujadili" kuliko "kujadili kwenyewe!"

tushakufahamu............................. Akya nani vile tushakupata..............!!!!!!!!!!
 
Kwa wale wanao fuatilia mchakato wa bunge maalumu la katiba washanifahamu. Kuna mambo yanayoendelea yanayoshadidisha kuwa mchakato wote wakutafuta rasimu ulikua Bure 1. Mtu ukiangalia kwa umakini utagundua kuwa au kuna dalili kuwa mafisadi tayari wana mkono wao. 2. Hakuna nia thabiti au mujaradi ya kupata katiba mpya! ""Rejea msimamo Wa chama tawala " au rejea mbilingembilinge za kuamua kura ya kuchagua mwenyekiti Iwe ya Siri au ya wazi! 3. Badala ya kuzungumzia rasimu na mchakato wa kupata mwenyekiti bora wajumbe wakaanza kuzungumzia posho! Mshanifahamu! 4. Sasa ndugu zangu ombeni watu wasio na viwango wapite' wakipita tutajuta miaka! Mshanifahamu ? 5. Mbaya zaidi watanzania wengi si wafatiliaji Wa siasa hasa watu Wa bara tofauti name Zanzibar. Mshanifahamu? Dalili za kuliwa naziona. Mshanifahamu

Tushakufahamu,Kiongozi.
 
CCM wanalazimisha kila kitu kifanyike kwa kura za wazi! Tusidanganyane hivi mjumbe gani wa ccm anaweza kupingana na chama chake? Hapo kila jambo itakuwa ndiyo tu matokeo yake tutabaki na katiba ya ccm badala ya katiba ya taifa! Wabunge wa ccm ni majanga tupu!

Back
Top Bottom