ILA WATANZANIA NI MA_SNITCH WAZEE
Time Will tellNa nyie mnaochekelea haya ipo siku yenu itafika, mkumbuke hata Polepole alikula na kunywa nao high table na alikuwa mmoja wao enzi za ufalme wake lakini sasa imebaki story..!!
Mwambieni Mwafwele amerudishe HP akiwa anapumuaNaunga mkono hoja , wamatumbi ukisema una shida maisha ni magumu , utasikia ipo siku Mungu atakufungulia milango , jamani pole utafanikiwa .....
Sasa baada ya kufanikiwa , sema sasa unapesa unakula bata, hauna shida ndogo ndogo , utayaona yanavyotoka mapovu ๐ฎ
Ndio nani huyo mtu ? Ndio kwanza namsikia kwakoMwambieni Mwafwele amerudishe HP akiwa anapumua
Kuna mpumbavu mmoja ameandika mada leo ety yeye ni mzee hvy anawaasa Gen Z kuandamana, huyu m$enge ndio taswira halisi ya namna watanzania ni wapumbavu.Wengine washajipa uzee wanaomba Gen Z na jeshi liwasaidie ili baadae wapate wa kuwanafkia na kuwabebesha lawama. ๐น
Na kila mtanzania analalamika watanzania wana roho mbaya ,hapo ndio kuna maajabu ๐คฃKwa lugha nyepesi, watanzania tuna roho mbaya.
๐น๐น๐น Pole min naona hili neno kila mara unalisema..!!Naunga mkono hoja , wamatumbi ukisema una shida maisha ni magumu , utasikia ipo siku Mungu atakufungulia milango , jamani pole utafanikiwa .....
Sasa baada ya kufanikiwa , sema sasa unapesa unakula bata, hauna shida ndogo ndogo , utayaona yanavyotoka mapovu ๐ฎ
Haya majinga dawa yao ni kula bata kila siku na kutoyalalamikia kwa chochote ๐๐น๐น๐น Pole min naona hili neno kila mara unalisema..!!
Kwann ww usimwambie, yn mtoa mada anasemea watz walivyo wanafiki Afu ww mpumbavu unakuja kuthibitisha ulivyo mnafiki.Mwambieni Mwafwele amerudishe HP akiwa anapumua
Anyway, umemuelewa mtoa mada?Kila siku si nakwambia nyie ni waoga kama nyumbu? Manyumbu ukiyakuta porini yalivyokusanyika unaweza kusema yanaushirikiano kweli ila hata mtoto wa miaka miwili anaweza kushika fimbo na kwenda kuzitoa baru nyumbu zote 400 na zikakimbia.
Sasa wewe Lamomy na keyboard warriors wenzako ndo mnatabia hizo za kinyumbu, ni hatari sana mtu kuwa upande wenu na kama kaamua kuwa upande wenu basi inatakiwa aamue kuwa hahitaji msaada wenu na yuko tayari kukabiliana na outcomes akiwa peke yake.
Na hivyohivyo kesho atatekwa mwingine ila hamtatoka, tarehe 29 hakuna anaetoka pia, na hata wewe unaweza kutekwa na hizi nyumbu mnazojaziana comments za kuwa mtatoka tarehe 29 hazitathubutu hata kuandamana hatua mbili kwaajili yako.
Nyumbu wewe Lamomy.