Watanzania na unafiki huwezi kuwatenganisha

Haha mzee siasa ukiichimba kiundani inauma ******* yani acha tuu, najuta kufatilia haya. Mkuu bora ufanye mambo yako mengine tuu. Hapa wakiona mnaongea sana wanampa diamond 10 billion afunge ndoa fake ya kifahari na wema hapo watanzania woote wanasahau kila kitu wanafatilia umbea tuu.
 
Lengo la uzi sio kukemea unafiki bali kukatisha tamaa mipango ya maandamano kwa usisubiri siku ifike ndio uandike huu utumbo wako!
Wapi nimekukatisha tamaa wewe mpuuzi, HP katekwa huoni hiyo tayari ni starting point ya kuandamana..!!

Wewe ni mnafki unayesubiri tar 29 ili usingizie polisi walikuwa wengi. Hovyo
 
Ukiwa platinum kigezo kingine ni kuwa mtakatifu????
Basi tena nimeshashindwa mie
Sasa platinum gani unarudishia ukitukanwa? 😹😹
Unakua huna tofauti na member wengine 🤣
 
Wameisha tujua kwah hiyo wanatupeleka wanavyo taka wao. Mimi kwa kweli najuta kufuatilia huu upumbavu wa siasa. Ngoja nitafute kijiji nihamie huko nipige kilimo na ufugaji nikae mbali kabisa na huu upumbavu.
 
Wameisha tujua kwah hiyo wanatupeleka wanavyo taka wao. Mimi kwa kweli najuta kufuatilia huu upumbavu wa siasa. Ngoja nitafute kijiji nihamie huko nipige kilimo na ufugaji nikae mbali kabisa na huu upumbavu.
Naona john heche anaupiga mwingi.😂😂
 
Tena wanaume ndo hamna kitu kabisa, mwanaume mwenzenu katekwa kwa unafki wenu mmetuliza vipira km sio nyie lol!
Hujui tu ni jinsi gani nimekesha nikifanya maombi mazito yawatafune wale wote waihalibuo nchi, unafiki kwetu sumu huyu nae ametuongezea nguvu ya kufanya vema zaidi tarehe 29, msiwe na hofu wake zetu sisi ndo Wakulungwa ndani ya nchi hii.
 
Ule Uzi WA Nyani Ngabu umekuwa strong kupitia hapa
CC : Kiranga
 
Wewe ndio nyumbu anaesemwa
 
Unafiki au uoga.

We unachukua mambo ya mitandaoni Comment za watu na clip za ticktock ndo unahisi watza wapo hivyo.!

Yule mama wa mtaani ambaye anachoma mihogo hana smartphone TV wala askilizi radio huyo akiichoka CCM ndo utakuwa Mwisho wake .

Na sio key body worriers hao ni kundi dogo Sana hiyo tarh 29/10 hakuna mtu atasogeza pua barabarani .


Ujinga huu mtu Kama Mbowe na Lipumba na zitto waliusoma wakajua hapa ni kulamba Asali tu .

Mfano Lissu mpaka naumia nikimfikiria alijitoa kuwapambania wapumbavu nyumbu wasio na akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…