Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,397
- 101,204
Mie nasubiri kuona reaction yenu, watanzania ktk kujikomboa ,hiyo tarehe si mmetaja nyie ? Mkiweza itakua poa sana na hongera nyingi kwenuKwahiyo unasubiri tar 29 😹

Mtiziii mwenye asili ya ...Wewe sio mtizii kiongozi? 😹
Uwe unasoma na kuelewa kabla hujakurupuka..!!Achaga UFALA wanaotoka huwa hawaongeagi sana wala kuchamba kama unavyofanya.....nikisema we ni mwoga kama hao hao unaowaponda nitakuwa sijakosea si ndio?
HahahahaNjoo road beautiful girl, ghetto waachie panya na mende bwege wewe 😹😹
Hahahaha,dahNaunga mkono mada, alietuloga watz alikufa na mganguzi wake
Mtoto wa kiume unajisifia kukaa ghetto huku unakuna vi nyanya mshenzi unaacha kupambania nchi yako si ndo unafki wenyewe huo..!!We njoo ghetto ni kubanange na kukubagaza tukimuenzi polepole maana kutoka road umeshindwa unaendelea na mikwara mitandaoni kama kawaida
Hivi nyie kila siku kuwasema vibaya watanzania , mara waoga ,mara wafiki, hii mbona ni upumbavu , kila jambo huwa pako pa kuanzia , yani wajukuu wa machief kama Mkwawa kwa nini mnawabagaza namna hiiQUOTE="Lamomy, post: 55138280, member: 726207"]Watanzania sisi ni wanafiki sana haijawahi kutokea, mtanzania mnaweza kupanga jambo pamoja lakini mbele akakusaliti sijui ni roho mbaya au wivu?
Ngoja niwaambie, sisi watanzania sio waoga ila tunateswa na UNAFIKI.
Ukitaka kujua mtaani tunapoishi umeme ukatike, cha kwanza ni kuchungulia kama kwa jirani upo? Kama upo basi anawapigia Tanesco kuwauliza “Mbona mmekata umeme kwangu lakini kwa jirani yangu unawaka? Hataki kujua kama kwake inawezekana line ina tatizo ila anachotaka wote wakae na giza..!!
Na huyo jirani yake mwenye umeme naye sio kwamba hana unafiki la hasha.. wote walewale atafurahi ndani kwake kuona mtaa mzima ana umeme peke yake. Na kufurahia majirani zake pindi wanapoteseka kuleta simu zao zichajiwe..!! Hao ndo watanzania.
Polepole inadaiwa katekwa lakini watanzania wamekausha kama sio walewale waliokua wanasema njoo useme ukiwa Tanzania tukiwa wote.
Leo hii hao hao wanasema kwanini alisema mambo yote hayo akiwa nchini..!!
Dah!! Watanzania unafiki unatutesa..
Sasa hivi washabadili upepo wanasema watamkomboa tarehe 29 seriously? 😥
Wengine washajipa uzee wanaomba Gen Z na jeshi liwasaidie ili baadae wapate wa kuwanafkia na kuwabebesha lawama. 😹
Niwaambie tu hiyo tarehe 29 hakuna wa kuandamana sababu sisi sio waoga ila wanafiki..!!
Mama kizimkazi anatujua vizuri na ndo maana alituambia hakuna nywinywii Oktoba 29 zozote tutakazoleta.
Wakuu tuendelee kutafuta school fees za kina nyunyia January sio mbali. 😹
Niliwahi kwenda Turkey nilishangaa sana watanzania hawako karibu na watanzania wenzao wanakwepana. Nilipomuuliza mwenyeji wangu akaniambia Lamomy ni bora uwe na urafiki na mataifa mengine sio mtanzania. Hachelewi kukuchoma au kuharibu msala ukabeba wewe..
Na nyie mnaochekelea haya ipo siku yenu itafika, mkumbuke hata Polepole alikula na kunywa nao high table na alikuwa mmoja wao enzi za ufalme wake lakini sasa imebaki story..!!
NB: Kila afurahiaye maovu atafikiwa kwa muda wake. Ni suala la muda. Waswahili tunasema kutesa kwa zamu
HahahahaNdo unafki wenyewe wa kuanza kukimbia utaifa 😹
Nakubaliana na wewe kwa kila uliloandika.Watanzania sisi ni wanafiki sana haijawahi kutokea, mtanzania mnaweza kupanga jambo pamoja lakini mbele akakusaliti sijui ni roho mbaya au wivu?
Ngoja niwaambie, sisi watanzania sio waoga ila tunateswa na UNAFIKI.
Ukitaka kujua mtaani tunapoishi umeme ukatike, cha kwanza ni kuchungulia kama kwa jirani upo? Kama upo basi anawapigia Tanesco kuwauliza “Mbona mmekata umeme kwangu lakini kwa jirani yangu unawaka? Hataki kujua kama kwake inawezekana line ina tatizo ila anachotaka wote wakae na giza..!!
Na huyo jirani yake mwenye umeme naye sio kwamba hana unafiki la hasha.. wote walewale atafurahi ndani kwake kuona mtaa mzima ana umeme peke yake. Na kufurahia majirani zake pindi wanapoteseka kuleta simu zao zichajiwe..!! Hao ndo watanzania.
Polepole inadaiwa katekwa lakini watanzania wamekausha kama sio walewale waliokua wanasema njoo useme ukiwa Tanzania tukiwa wote.
Leo hii hao hao wanasema kwanini alisema mambo yote hayo akiwa nchini..!!
Dah!! Watanzania unafiki unatutesa..
Sasa hivi washabadili upepo wanasema watamkomboa tarehe 29 seriously? 😥
Wengine washajipa uzee wanaomba Gen Z na jeshi liwasaidie ili baadae wapate wa kuwanafkia na kuwabebesha lawama. 😹
Niwaambie tu hiyo tarehe 29 hakuna wa kuandamana sababu sisi sio waoga ila wanafiki..!!
Mama kizimkazi anatujua vizuri na ndo maana alituambia hakuna nywinywii Oktoba 29 zozote tutakazoleta.
Wakuu tuendelee kutafuta school fees za kina nyunyia January sio mbali. 😹
Niliwahi kwenda Turkey nilishangaa sana watanzania hawako karibu na watanzania wenzao wanakwepana. Nilipomuuliza mwenyeji wangu akaniambia Lamomy ni bora uwe na urafiki na mataifa mengine sio mtanzania. Hachelewi kukuchoma au kuharibu msala ukabeba wewe..
Na nyie mnaochekelea haya ipo siku yenu itafika, mkumbuke hata Polepole alikula na kunywa nao high table na alikuwa mmoja wao enzi za ufalme wake lakini sasa imebaki story..!!
NB: Kila afurahiaye maovu atafikiwa kwa muda wake. Ni suala la muda. Waswahili tunasema kutesa kwa zamu
Avatar inajielezaLabda mwenzetu ni mtanzania wa kuchovya😁.
Hakikisha unamtengenezea mazingira unayetaka kugombana nae , yeye ndio aonekane amekuchokoza🤣🤣🤣🤣kugombana hapakwepeki cha muhimu ni mbinu gani unatumia.Ndio jirani nimejionea,
Mimi sasa hivi ni Platinum member,
sitaki kugombana hovyo na watu,
waione min -me Joanah Depal Evel BICHWA KOMWE - Hannah ephen_ Leejay49
Evelyn Salt
😀 😀
Niliwahi kumpiga mwalimu Tambaza Secondary (kosa lilikuwa lake mwalinu, si langu), mzazi akaitwa shule.Watanzania sisi ni wanafiki sana haijawahi kutokea, mtanzania mnaweza kupanga jambo pamoja lakini mbele akakusaliti sijui ni roho mbaya au wivu?
Ngoja niwaambie, sisi watanzania sio waoga ila tunateswa na UNAFIKI.
Ukitaka kujua mtaani tunapoishi umeme ukatike, cha kwanza ni kuchungulia kama kwa jirani upo? Kama upo basi anawapigia Tanesco kuwauliza “Mbona mmekata umeme kwangu lakini kwa jirani yangu unawaka? Hataki kujua kama kwake inawezekana line ina tatizo ila anachotaka wote wakae na giza..!!
Na huyo jirani yake mwenye umeme naye sio kwamba hana unafiki la hasha.. wote walewale atafurahi ndani kwake kuona mtaa mzima ana umeme peke yake. Na kufurahia majirani zake pindi wanapoteseka kuleta simu zao zichajiwe..!! Hao ndo watanzania.
Polepole inadaiwa katekwa lakini watanzania wamekausha kama sio walewale waliokua wanasema njoo useme ukiwa Tanzania tukiwa wote.
Leo hii hao hao wanasema kwanini alisema mambo yote hayo akiwa nchini..!!
Dah!! Watanzania unafiki unatutesa..
Sasa hivi washabadili upepo wanasema watamkomboa tarehe 29 seriously? 😥
Wengine washajipa uzee wanaomba Gen Z na jeshi liwasaidie ili baadae wapate wa kuwanafkia na kuwabebesha lawama. 😹
Niwaambie tu hiyo tarehe 29 hakuna wa kuandamana sababu sisi sio waoga ila wanafiki..!!
Mama kizimkazi anatujua vizuri na ndo maana alituambia hakuna nywinywii Oktoba 29 zozote tutakazoleta.
Wakuu tuendelee kutafuta school fees za kina nyunyia January sio mbali. 😹
Niliwahi kwenda Turkey nilishangaa sana watanzania hawako karibu na watanzania wenzao wanakwepana. Nilipomuuliza mwenyeji wangu akaniambia Lamomy ni bora uwe na urafiki na mataifa mengine sio mtanzania. Hachelewi kukuchoma au kuharibu msala ukabeba wewe..
Na nyie mnaochekelea haya ipo siku yenu itafika, mkumbuke hata Polepole alikula na kunywa nao high table na alikuwa mmoja wao enzi za ufalme wake lakini sasa imebaki story..!!
NB: Kila afurahiaye maovu atafikiwa kwa muda wake. Ni suala la muda. Waswahili tunasema kutesa kwa zamu
Hakuna chochote mzee, watu saivi mda wote ni kuchungulia kwenye account ya mange kimambi kuangalia kapost nini ili watie huruma basi nothing more. Mungu pekee ndio mwenye uwezo wa kuliokoa hili taifa basi, hakuna mtanzakundu kama wakenya wanavyotuita anayeweza kwenda front kupambana tho wengine tuna mioyo hiyo ila tupo wachache hatuwezi fanya kitu. Issue niliyoiona mbezi ndio ilinipa picha halisi ya waTz walivyo.Mkuu taifa lina vijana wa hovyo sana,wako radhi kujaza uwanja wa taifa kwa mambo ya usimba na uyanga ila sio kutoka mbele kudai mambo ya msingi. Na hiyo tarehe 29 hakuna chochote kitatokea, wanapiga porojo tu mitandaoni.
HP alikua anatetea chama chake na hiyo ya Lissu kutaka aachiwe ni baada ya kuona watz wanamuongelea Lissu na chama chake kimempuuza. Akabadili upepo kwenda sawa na wananchi.Kama ingekuwa hivyo si Lissu angekubali kukaa na serikali ? We kama mtu aliyepigwa risasi ameshindwa kuwatisha kwa kauli wewe ambaye haujawahi hata kuzabwa kibao kama Jaji mstaafu Warioba utaweza ? Huyu jamaa hata Jenerali Ulimwengu alimshauri aliona kabisa hana plan. Hata Tanzania ikija kupata katiba mpya hatuwezi kumweka Polepole kama martyr. Maana yeye alitaka mama aachie ngazi na Lissu aachiwe uchaguzi ufanyike. What waste of life inauma lakini ndio ukweli.
Watanzania hata ajali hawasaidii majeruhi ila wako busy kushindana kurekodi wawahi kupost. Tumekuwa watu wa hovyo sana..!!Mkuu waTz ni mikundu sana uliyoyasema hapo juu ndio walivyo tuzidi kumuomba Mungu tuu, maybe Mungu awachukue hawa wanasiasa waliotufikisha hapa basi, ila sisi kama sisi hatuwezi unaweza kujitoa wewe ukajikuta upo peke yako wako bize kukurecord wakupost mitandaoni basi. Narudia tena kama wewe ni mTz " KUMANINA ZAKO, FVCK YOU"
Amini kwamba kuna muda acha tu tuendelee kutaabika na kuburuzwa mara dufu maana tuko bize kujaza idadi ya comments tu mitandaoni ila uhalisia ni zero.Hahahaha,dah
Unafki haujatuacha salama..!!Siku mwili wa jpm unaelekea mwanza kwa mazishi,ulipofika ilala boma kuna mzee aliingia kati ya barabara akapiga magoti huku akilia,kuna watu walimponda na kumtukana yule mzee vibaya mno,watu wale wale waliomtukana yule mzee kipindi kile ndio now wana uchungu na kifo cha jpm kuliko hata yule mzee waliyemtukana