Watanzania na Viongozi wa Dini tufunge na kuliombea hili Taifa

Sitaki kunyoosha kidole kwa mamlaka maana nina imani kila mamlaka inawekwa na Mungu. Iwe mbaya au nzuri ila anaye isimika ni Mungu pekee iwe kwa wizi wa kura ama kwa namna yoyote bado Mungu ndie anaye ziweka mamlaka nakuzipa ridhaa kuwaongoza watu. Yes kama Mungu angakuwa sio anaye bariki mambo kutokea asinge ruhusu Uzaliwa wa kwanza wa Esau uwende kwa Yakobo. Ndio Yakobo alichukuwa baraka za nduguye kwa kupata taarifa toka kwa mama alie vujisha siri ya kumbariki Esau.

Ndivyo ktk siasa wananchi tunagombana na kuumizana ila watu wamesha peana urithi wa kwanza.

Kifo cha Rais wa Tano wa Taifa hili sio kifo ambacho tunaweza kukichukulia cha kawaida nikifo chenye mambo mengi yakufikirisha na sisi tunasema kazi ya Mungu haina makosa.

Hayati Magufuli ameondoka tumebaki sisi na watoto wetu na kama angekuwa hai akapewa nafasi ya mwisho kuongea angesema Watanzania msinililie mimi ila jililieni ninyi na watoto wenu.

Utabiri unaonyesha zipo nyakati ngumu tutaziendea pasipo kufunga na kuombea hili taifa hali itakuwa mbaya zaidi. Maamuzi magumu sana yapo mbeleni msiniulize maamuzi gani ila chukueni haya maono tunayo yaona na tusio yaona Mungu ndio anaye juwa.

Tupo karibu nakujaa kikombe na mwisho kumwagika ndugu zangu ombeeni Taifa Ombeeni Mungu atupe viongizi wazuri wenye nia ya dhati kuliongoza Taifa pasipo kujali dini au kabila la mtu.

Hili taifa sii mali ya mtu au chama au taifa au kabila au dini fulani hili ni taifa la watanzania ndani yake wakiwemo Watanganjika na Wazanzibari kuwa na fikira Taifa hili ni mali ya watu ni kitisho kwa uchumi na ustawi wa watanzania.

Nilazima tuwa na Tanzania mpya chini ya mwamvuli wa Mungu tuna muamini.

Ndugu zangu mimi napenda hii kauli yajayo yanafurahisha wana maombi tupige spana Mungu huyu ashuke na aonyeshe utukufu wake. Amen
Sasa watu waombee nn?
Be specific!
Mungu ni WA utaratibu pia!
Mungu kwenye Isaya ;alisema,twende na Hoja zenye nguvu....
Mungu anataka Hoja!
Tena akasema tumkumbushe tuhojiane...

Btw,hayo unayoonyeshwa,pls inawezekana we ndo inatakiwa kuyaombea!

Nb: km utapata kibali, karibu; Kila mwaka tupo Dodoma hapo, kwa ajili ya ajenda Moja tu ya kuliombea Taifa! karibu kuombea Taifa!

Hatuna haja ya kuleta humu!
Km kweli Mungu kakupa huo mzigo utaomba tu bila kuleta humu haya matangazo
 
Maamuzi magumu sana yapo mbeleni msiniulize maamuzi gani ila chukueni haya maono tunayo yaona na tusio yaona Mungu ndio anaye juwa.
Kama hutaki tukuulize,,, usingesema in the First place....

By the way,,,,Ramli zako sio za kupuuzwa sana,,,,,huenda upo huko JIKONI,,,na mmesha execute mission then unakuja kutuhabarisha kwa mafumbo.....

Kama ni Mama kujiuzulu tuambie Mapema
 
Sitaki kunyoosha kidole kwa mamlaka maana nina imani kila mamlaka inawekwa na Mungu. Iwe mbaya au nzuri ila anaye isimika ni Mungu pekee iwe kwa wizi wa kura ama kwa namna yoyote bado Mungu ndie anaye ziweka mamlaka nakuzipa ridhaa kuwaongoza watu. Yes kama Mungu angakuwa sio anaye bariki mambo kutokea asinge ruhusu Uzaliwa wa kwanza wa Esau uwende kwa Yakobo. Ndio Yakobo alichukuwa baraka za nduguye kwa kupata taarifa toka kwa mama alie vujisha siri ya kumbariki Esau.

Ndivyo ktk siasa wananchi tunagombana na kuumizana ila watu wamesha peana urithi wa kwanza.

Kifo cha Rais wa Tano wa Taifa hili sio kifo ambacho tunaweza kukichukulia cha kawaida nikifo chenye mambo mengi yakufikirisha na sisi tunasema kazi ya Mungu haina makosa.

Hayati Magufuli ameondoka tumebaki sisi na watoto wetu na kama angekuwa hai akapewa nafasi ya mwisho kuongea angesema Watanzania msinililie mimi ila jililieni ninyi na watoto wenu.

Utabiri unaonyesha zipo nyakati ngumu tutaziendea pasipo kufunga na kuombea hili taifa hali itakuwa mbaya zaidi. Maamuzi magumu sana yapo mbeleni msiniulize maamuzi gani ila chukueni haya maono tunayo yaona na tusio yaona Mungu ndio anaye juwa.

Tupo karibu nakujaa kikombe na mwisho kumwagika ndugu zangu ombeeni Taifa Ombeeni Mungu atupe viongizi wazuri wenye nia ya dhati kuliongoza Taifa pasipo kujali dini au kabila la mtu.

Hili taifa sii mali ya mtu au chama au taifa au kabila au dini fulani hili ni taifa la watanzania ndani yake wakiwemo Watanganjika na Wazanzibari kuwa na fikira Taifa hili ni mali ya watu ni kitisho kwa uchumi na ustawi wa watanzania.

Nilazima tuwa na Tanzania mpya chini ya mwamvuli wa Mungu tuna muamini.

Ndugu zangu mimi napenda hii kauli yajayo yanafurahisha wana maombi tupige spana Mungu huyu ashuke na aonyeshe utukufu wake. Amen
Nisawa na utabiri kuwa mwakani mvua zitanyesha sana na kutakuwa na nyakati za njaa. Huu ni utabiri maandazi maana ni vitu vinavyotokea kila mwaka.
 
Ni zamu yenu sasa kulia lia ma maombi. Nenda ukanyage mafuta kwa mwamposa.
 
Aya ya MWISHO umeharibu,
Kwamba unapenda kauli hii, "yajayo yanafurahisha", afu tupige spana?
Mara nyingine Nchi hupigwa Kwa magonjwa au majanga Kwa makosa ya viongozi wao,
Mimi sipendi mabaya yatupate.
Namuomba Mungu awape moyo wa nyama, wasikize vilio na mateso ya wananchi,
WATUBU na kubadilika mapema, wasisubiri mabaya yatokee.
Ameeeeeeeen.
Mimi hapa sioni hata mnacholilia ni kitu gani. Nchi sasa hivi ipo vizuri.
 
Kama hutaki tukuulize,,, usingesema in the First place....

By the way,,,,Ramli zako sio za kupuuzwa sana,,,,,huenda upo huko JIKONI,,,na mmesha execute mission then unakuja kutuhabarisha kwa mafumbo.....

Kama ni Mama kujiuzulu tuambie Mapema
Hawana lolote hao. Ni chawa tu
 
Tumwombe Mwenyezi Mungu, lakini mambo mengine ni uzembe wetu.

Kiongozi mkishamchagua anawafanya mateka na watumwa wake, anaweza kuamua au kufanya lolote na hakuna wa kumkosoa,
Zaidi ataandaa chawa wa kusifia kila jambo baya au zuri,

Hali hii sio kwa watawala tu hata viongozi wa upinzani pia,
Mambo yenu ya ccm usichanganye ma upjnzani. Malizaneni huko huko.
 
Sitaki kunyoosha kidole kwa mamlaka maana nina imani kila mamlaka inawekwa na Mungu. Iwe mbaya au nzuri ila anaye isimika ni Mungu pekee iwe kwa wizi wa kura ama kwa namna yoyote bado Mungu ndie anaye ziweka mamlaka nakuzipa ridhaa kuwaongoza watu. Yes kama Mungu angakuwa sio anaye bariki mambo kutokea asinge ruhusu Uzaliwa wa kwanza wa Esau uwende kwa Yakobo. Ndio Yakobo alichukuwa baraka za nduguye kwa kupata taarifa toka kwa mama alie vujisha siri ya kumbariki Esau.

Ndivyo ktk siasa wananchi tunagombana na kuumizana ila watu wamesha peana urithi wa kwanza.

Kifo cha Rais wa Tano wa Taifa hili sio kifo ambacho tunaweza kukichukulia cha kawaida nikifo chenye mambo mengi yakufikirisha na sisi tunasema kazi ya Mungu haina makosa.

Hayati Magufuli ameondoka tumebaki sisi na watoto wetu na kama angekuwa hai akapewa nafasi ya mwisho kuongea angesema Watanzania msinililie mimi ila jililieni ninyi na watoto wenu.

Utabiri unaonyesha zipo nyakati ngumu tutaziendea pasipo kufunga na kuombea hili taifa hali itakuwa mbaya zaidi. Maamuzi magumu sana yapo mbeleni msiniulize maamuzi gani ila chukueni haya maono tunayo yaona na tusio yaona Mungu ndio anaye juwa.

Tupo karibu nakujaa kikombe na mwisho kumwagika ndugu zangu ombeeni Taifa Ombeeni Mungu atupe viongizi wazuri wenye nia ya dhati kuliongoza Taifa pasipo kujali dini au kabila la mtu.

Hili taifa sii mali ya mtu au chama au taifa au kabila au dini fulani hili ni taifa la watanzania ndani yake wakiwemo Watanganjika na Wazanzibari kuwa na fikira Taifa hili ni mali ya watu ni kitisho kwa uchumi na ustawi wa watanzania.

Nilazima tuwa na Tanzania mpya chini ya mwamvuli wa Mungu tuna muamini.

Ndugu zangu mimi napenda hii kauli yajayo yanafurahisha wana maombi tupige spana Mungu huyu ashuke na aonyeshe utukufu wake. Amen
Blaa blaa kibao,kwani kila jumapili huoni ibada za kuombea Taifa zikiwa sehemu ya litrugia ?
 
Taifa lilipata uhuru 1961, mpaka sasa limeongozwa na maRais 6.

Kabla ya awamu ya tano zilipita awamu nne.

tuliishi kwa JKN, AHM, BWM na JK bado tunaweza kuishi bila JPM wala SSH. Nchi hii inaongozwa na mfumo tofauti na fikra zako, uyaonayo kwa macho yako ni machache sana kuliko yaliyoko gizani ambayo huyaoni.

Wanayoyaona usiyoyaona wanajua nini cha kufanya, tuendelee kula ugali makange.
 
Sitaki kunyoosha kidole kwa mamlaka maana nina imani kila mamlaka inawekwa na Mungu. Iwe mbaya au nzuri ila anaye isimika ni Mungu pekee iwe kwa wizi wa kura ama kwa namna yoyote bado Mungu ndie anaye ziweka mamlaka nakuzipa ridhaa kuwaongoza watu. Yes kama Mungu angakuwa sio anaye bariki mambo kutokea asinge ruhusu Uzaliwa wa kwanza wa Esau uwende kwa Yakobo. Ndio Yakobo alichukuwa baraka za nduguye kwa kupata taarifa toka kwa mama alie vujisha siri ya kumbariki Esau.

Ndivyo ktk siasa wananchi tunagombana na kuumizana ila watu wamesha peana urithi wa kwanza.

Kifo cha Rais wa Tano wa Taifa hili sio kifo ambacho tunaweza kukichukulia cha kawaida nikifo chenye mambo mengi yakufikirisha na sisi tunasema kazi ya Mungu haina makosa.

Hayati Magufuli ameondoka tumebaki sisi na watoto wetu na kama angekuwa hai akapewa nafasi ya mwisho kuongea angesema Watanzania msinililie mimi ila jililieni ninyi na watoto wenu.

Utabiri unaonyesha zipo nyakati ngumu tutaziendea pasipo kufunga na kuombea hili taifa hali itakuwa mbaya zaidi. Maamuzi magumu sana yapo mbeleni msiniulize maamuzi gani ila chukueni haya maono tunayo yaona na tusio yaona Mungu ndio anaye juwa.

Tupo karibu nakujaa kikombe na mwisho kumwagika ndugu zangu ombeeni Taifa Ombeeni Mungu atupe viongizi wazuri wenye nia ya dhati kuliongoza Taifa pasipo kujali dini au kabila la mtu.

Hili taifa sii mali ya mtu au chama au taifa au kabila au dini fulani hili ni taifa la watanzania ndani yake wakiwemo Watanganjika na Wazanzibari kuwa na fikira Taifa hili ni mali ya watu ni kitisho kwa uchumi na ustawi wa watanzania.

Nilazima tuwa na Tanzania mpya chini ya mwamvuli wa Mungu tuna muamini.

Ndugu zangu mimi napenda hii kauli yajayo yanafurahisha wana maombi tupige spana Mungu huyu ashuke na aonyeshe utukufu wake. Amen
Nyakati ngumu ktk Nchi hatimaye zitapita pasipo bendera yetu kucatch fire.

Mtoto hatahukumiwa Kwa maovu ya babaye, Wala watawaliwa hawatoadhibiwa Kwa UOVU wa wtawala.

Pesa kiasi Gani zinatosha kulipa Ili kumuokoa mwovu asitumbukie SHIMONI?

Mungu amelikumbuka Taifa letu Tanzania.

Justice is coming,

Aaamen.
 
Utabiri unaonyesha zipo nyakati ngumu tutaziendea pasipo kufunga na kuombea hili taifa hali itakuwa mbaya zaidi. Maamuzi magumu sana yapo mbeleni msiniulize maamuzi gani ila chukueni haya maono tunayo yaona na tusio yaona Mungu ndio anaye juwa.
Amen
Tupo karibu nakujaa kikombe na mwisho kumwagika ndugu zangu ombeeni Taifa Ombeeni Mungu atupe viongozi wazuri wenye nia ya dhati kuliongoza Taifa pasipo kujali dini au kabila la mtu.
Amen Mungu ametupa
Hili taifa sii mali ya mtu au chama au taifa au kabila au dini fulani hili ni taifa la watanzania ndani yake wakiwemo Watanganjika na Wazanzibari kuwa na fikira Taifa hili ni mali ya watu ni kitisho kwa uchumi na ustawi wa watanzania.

Nilazima tuwa na Tanzania mpya chini ya mwamvuli wa Mungu tuna muamini.
Uwe unatupa na mrejeo
fungue macho, jambo kubwa lina enda kutokea machoni pa Taifa ktk wakati hakuna angeweza kutarajia au kufikiri hivyo basi ni Maombi yangu na maombi yako yataliponya Taifa.
Mkuu TumainiEl , wewe ni mmoja wa manabii wetu wa ukweli humu, kwanza asante kututip kuhusu hili jambo kubwa linalohitaji maombi ambalo lilitaka kutokea Tanzania. Kufuatia tip yako hii na sisi watu wa maombi tupo, tumeomba, hivyo hilo jambo kubwa haliwezi kutokea tena kama lile!. Tena hata lile kama wasingefanya siri, tungeliweka kwenye maombi, lisinge tokea!.
NB. Kwa vile umezungumzia jambo kubwa za kuhitaji maombi kuliepuka, hala hala usiku kuingizwa kwenye manabii hawa Angalizo kwa Wana JF: Tuwaepuke "Prophets Of The Doom", kauli zao huumba!
P
 
Back
Top Bottom