Watanzania nadhani wengi tumefika Jehanamu hata kidogo tu. Au ndo tumeshafika?

Watanzania nadhani wengi tumefika Jehanamu hata kidogo tu. Au ndo tumeshafika?

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Maisha ya watanzania wengi ni ya dhiki, adha na mateso. Mchana inzi usiku mbu. Watanzania maskini wanakamuliwa maziwa yameisha sasa wanakamuliwa damu.

Maji ni shida ,umeme ni shida, chakula ni tabu, pesa wanapata kundi la watu flani tu. Mnasema tutafika mbinguni tumechoka.... Hamna...hamuwezi fika mbinguni katika hali hii. Kwa unafiki huu.

Tayari mpo jehanamu na mnaongozwa na shetani. Shetani huchagua watu wake wa kuwapa wale na wengine wateseke maana ana watoto wake, uncles zake. Mashemeji, marafiki n.k. hawa anawatumia kudhoofisha watu wa Mungu. Na kuwa nyonya.


Watanzia hamtufiki mbinguni mpaka tubadilike nakwambia
 
Back
Top Bottom