Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata sisi tutafanya vivyo hivyo, na vile mumejazana huku kwetu.Uchukie, usituchukie we don't care. Who are you!? Na baada ya uchaguzi, tunawasaka kila kona na kuwaondoa.
Mna nchi kubwa sana ndio maana umasikini umetawala. Serikali yenu haiwezi kukidhi mahitaji yenu nyote. Mnastahili kugawa nchi yenu mara tatu. Hizo nchi tatu zitaweza kujitawala vizuriHuo ukaribu wa Kenya na Tanzania mnaouongelea ni myth, haupo kwani inategemea na Jiografia ya mahali unapoishi ukiuliza wachaga ndiyo watakwambia kuna ukaribu wa Tanzania na Kenya ukiuliza kwetu Rufiji mpaka Kusini mwa Tanzania hawajui Kenya wanajua Msumbiji, ukienda Mbeya, Iringa au Songea hawajui chochote kuhusu Kenya, ukienda Bukoba wako karibu zaidi na Uganda na Rwanda kuliko na Kenya haiwahusu, Kigoma wako na Kongo/Burundi hivyo ni sehemu ndogo sana ya Tanzania ndiyo ina ,,ukaribu'' na Kenya hivyo msikuze haya mambo kiasi hicho
Hayo madini si mumeshapiga ukuta. Sasa unalia nini?Sisi wala hatuwataki kabisa mmeshatuumiza sana mkishirikiana na wahindi kuiba madini yetu! Hasa Tanzanite.
Mna nchi kubwa sana ndio maana umasikini umetawala. Serikali yenu haiwezi kukidhi mahitaji yenu nyote. Mnastahili kugawa nchi yenu mara tatu. Hizo nchi tatu zitaweza kujitawala vizuri
Do whatever. Hakuna Mtanzania ataishi sehemu yenye njaa.Hata sisi tutafanya vivyo hivyo, na vile mumejazana huku kwetu.
Mmesahau ile kura ambayo mlipiga kinyume na mataifa karibia yote ya Afrika mkiunga mkono Israel kuidhinishwa na Trump kuwa nchi kamili huku ukijua fika kuwa imeikalia ardhi ya Palestine kimabavu.. Ile kura mlikuwa mnao mtazamo tofauti na nchi karibia zote za Afrika huku mpaka mkaitwa kufanya party marekani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
Mkuu kwa uelewa wako Kura huwa wanapigaje kule , Na kitu gani kinakufanya udhani hatukuwapigia Kura. Je umebase kwenye ile list yenye Kosovo? Je unajua kuwa Kosovo sio mwanachama? Na yupo mara mbili katika Ile list?
Kwa madhara wakenya waliosababisha na matusi ya kila aina kwenye mitandao kwa kusema Tanzania haijaipigia kura . Kwa hiyo damage , ikijulikana Tuliwapigia, Mtafanyaje kuondoa hayo madhara?
Je kabla ya kufungua huu uzi na kutangaza rasmi utakavyoichukia Tanzania, Umefanya utafiti wowote jinsi mambo yanavyofanyika kule ?
Au ndio yale yale?
nimesema siamini na sitaki kuamini kwamba inawezekana Tanzania ikafanya kitu kama hiki
Hata kiswahili hujui? Comment yangu inahusu past siyo leo tumeshawadhibiti kwa sasa!Hayo madini si mumeshapiga ukuta. Sasa unalia nini?
Una kichaa wewe. Umaskini umetawala Kenya nchi ndogo kuliko Tz.Mna nchi kubwa sana ndio maana umasikini umetawala. Serikali yenu haiwezi kukidhi mahitaji yenu nyote. Mnastahili kugawa nchi yenu mara tatu. Hizo nchi tatu zitaweza kujitawala vizuri
Ninyi ndio wanafiki, ninyi mnajua kwamba Kenya haiwezi chagua Tanzania wala Tanzania haiwezi chagua Kenya, inakuaje mnashangaa mkijua Tanzania haijawachagueni?kawaida ya mswahili kuishi kinafkinafki....hovyo sana jamaa!
Saa zingine Kiswahili cha TZ kinanichosha inabidi niandike kwa kiswahili chetu cha mtaaniHata kiswahili hujui? Comment yangu inahusu past siyo leo tumeshawadhibiti kwa sasa!
Tatizo lenu ndo hilo wakenya.. Sio kila kinachofanywa na Israel au Marekani ni sahihi, lakini kwakuwa mnaamini kwamba mtapata msaada kutoka kwa mabeberu mmekuwa mkijipendekeza kwa nguvu zote.. Hamjifunzi kutokana na historia vile ambavyo viongozi walitumika kama puppets kuuza mababu zetu.Kenya will always be a friend to Israel. If it does not make you happy you can hang. Israel is a great defense ally and a true friend to Kenya. The largest Israel lobby group in Africa is Kenya Friends Of Israel boasting about 400,000 members and growing.
I remember in 2016 when we hosted prime minister Benjamin Netanyahu for lunch at villa rosa Kempinski it was magical seeing all the people singing and dancing to psalms of David sung by a rabbi at the event and authentic Torah readings in Hebrew.
We also host welcome breakfast for every incoming israeli ambassador and monthly we meet the diplomatic agents of Israel to discuss business, religion and the opportunity of Kenyan students to study in Israel.