Watanzania naomba sana taarifa za nyie kutotupigia kura ziwe za uwongo maana nitawachukia sana ndugu zetu

Watanzania naomba sana taarifa za nyie kutotupigia kura ziwe za uwongo maana nitawachukia sana ndugu zetu

Tutapigaje wakati mnasema mTz akitaka kufanya jambo lolote la Kunya apimwe Corona?
Hatupimi na Hatuwapigii
Ova
 
Huo ukaribu wa Kenya na Tanzania mnaouongelea ni myth, haupo kwani inategemea na Jiografia ya mahali unapoishi ukiuliza wachaga ndiyo watakwambia kuna ukaribu wa Tanzania na Kenya ukiuliza kwetu Rufiji mpaka Kusini mwa Tanzania hawajui Kenya wanajua Msumbiji, ukienda Mbeya, Iringa au Songea hawajui chochote kuhusu Kenya, ukienda Bukoba wako karibu zaidi na Uganda na Rwanda kuliko na Kenya haiwahusu, Kigoma wako na Kongo/Burundi hivyo ni sehemu ndogo sana ya Tanzania ndiyo ina ,,ukaribu'' na Kenya hivyo msikuze haya mambo kiasi hicho
Mna nchi kubwa sana ndio maana umasikini umetawala. Serikali yenu haiwezi kukidhi mahitaji yenu nyote. Mnastahili kugawa nchi yenu mara tatu. Hizo nchi tatu zitaweza kujitawala vizuri
 
MK254,

Mkuu kwa uelewa wako Kura huwa wanapigaje kule , Na kitu gani kinakufanya udhani hatukuwapigia Kura. Je umebase kwenye ile list yenye Kosovo? Je unajua kuwa Kosovo sio mwanachama? Na yupo mara mbili katika Ile list?

Kwa madhara wakenya waliosababisha na matusi ya kila aina kwenye mitandao kwa kusema Tanzania haijaipigia kura . Kwa hiyo damage , ikijulikana Tuliwapigia, Mtafanyaje kuondoa hayo madhara?

Je, kabla ya kufungua huu uzi na kutangaza rasmi utakavyoichukia Tanzania, Umefanya utafiti wowote jinsi mambo yanavyofanyika kule ? Au ndio yale yale?
 
Nilichowadharau Wakenya katika hili NI kitendo Cha udaku wa mitandaoni kuifanya mainstreamed news. Eti mpka media kubwa zimeshadadia bila hata kufanya simple research. UN hawawezi kutoa taarifa Kama ile public.
 
Mna nchi kubwa sana ndio maana umasikini umetawala. Serikali yenu haiwezi kukidhi mahitaji yenu nyote. Mnastahili kugawa nchi yenu mara tatu. Hizo nchi tatu zitaweza kujitawala vizuri

Hii post ya kijinga siajabu kuwahi kuandikwa hapa JF, na Kenya ni nchi ndogo na tajiri?
 
Mmesahau ile kura ambayo mlipiga kinyume na mataifa karibia yote ya Afrika mkiunga mkono Israel kuidhinishwa na Trump kuwa nchi kamili huku ukijua fika kuwa imeikalia ardhi ya Palestine kimabavu.. Ile kura mlikuwa mnao mtazamo tofauti na nchi karibia zote za Afrika huku mpaka mkaitwa kufanya party marekani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]

Kenya will always be a friend to Israel. If it does not make you happy you can hang. Israel is a great defense ally and a true friend to Kenya. The largest Israel lobby group in Africa is Kenya Friends Of Israel boasting about 400,000 members and growing.

I remember in 2016 when we hosted prime minister Benjamin Netanyahu for lunch at villa rosa Kempinski it was magical seeing all the people singing and dancing to psalms of David sung by a rabbi at the event and authentic Torah readings in Hebrew.

We also host welcome breakfast for every incoming israeli ambassador and monthly we meet the diplomatic agents of Israel to discuss business, religion and the opportunity of Kenyan students to study in Israel.
 
Mkuu kwa uelewa wako Kura huwa wanapigaje kule , Na kitu gani kinakufanya udhani hatukuwapigia Kura. Je umebase kwenye ile list yenye Kosovo? Je unajua kuwa Kosovo sio mwanachama? Na yupo mara mbili katika Ile list?

Kwa madhara wakenya waliosababisha na matusi ya kila aina kwenye mitandao kwa kusema Tanzania haijaipigia kura . Kwa hiyo damage , ikijulikana Tuliwapigia, Mtafanyaje kuondoa hayo madhara?

Je kabla ya kufungua huu uzi na kutangaza rasmi utakavyoichukia Tanzania, Umefanya utafiti wowote jinsi mambo yanavyofanyika kule ?
Au ndio yale yale?

Rudia nilichokiandika, soma kama mara tatu hivi utanielewa, nimesema siamini na sitaki kuamini kwamba inawezekana Tanzania ikafanya kitu kama hiki, na pia nikataja aidha zitakua taarifa za uwongo na nikasema nitaamini pale nitapata taarifa rasmi.
 
Mna nchi kubwa sana ndio maana umasikini umetawala. Serikali yenu haiwezi kukidhi mahitaji yenu nyote. Mnastahili kugawa nchi yenu mara tatu. Hizo nchi tatu zitaweza kujitawala vizuri
Una kichaa wewe. Umaskini umetawala Kenya nchi ndogo kuliko Tz.
 
Kawaida ya Mswahili kuishi kinafkinafki, hovyo sana jamaa!
 
kawaida ya mswahili kuishi kinafkinafki....hovyo sana jamaa!
Ninyi ndio wanafiki, ninyi mnajua kwamba Kenya haiwezi chagua Tanzania wala Tanzania haiwezi chagua Kenya, inakuaje mnashangaa mkijua Tanzania haijawachagueni?

Lazima mkubali na mjue kwamba Kenya na Tanzania ni maadui sio marafiki, iweje adui yako alikuharibia mambo umuite mnafiki?, hamna akili?
 
Hata kiswahili hujui? Comment yangu inahusu past siyo leo tumeshawadhibiti kwa sasa!
Saa zingine Kiswahili cha TZ kinanichosha inabidi niandike kwa kiswahili chetu cha mtaani
 
Kenya will always be a friend to Israel. If it does not make you happy you can hang. Israel is a great defense ally and a true friend to Kenya. The largest Israel lobby group in Africa is Kenya Friends Of Israel boasting about 400,000 members and growing.

I remember in 2016 when we hosted prime minister Benjamin Netanyahu for lunch at villa rosa Kempinski it was magical seeing all the people singing and dancing to psalms of David sung by a rabbi at the event and authentic Torah readings in Hebrew.

We also host welcome breakfast for every incoming israeli ambassador and monthly we meet the diplomatic agents of Israel to discuss business, religion and the opportunity of Kenyan students to study in Israel.
Tatizo lenu ndo hilo wakenya.. Sio kila kinachofanywa na Israel au Marekani ni sahihi, lakini kwakuwa mnaamini kwamba mtapata msaada kutoka kwa mabeberu mmekuwa mkijipendekeza kwa nguvu zote.. Hamjifunzi kutokana na historia vile ambavyo viongozi walitumika kama puppets kuuza mababu zetu.

That is your main weakness!! Sisi pamoja nakuwa marafiki wakaribu na China bado raisi aliweza kukemia vifaa na misaada ile ya barakoa tena hadharani.

Sisi hatuwezagi unafki.. Ila nyie ndugu zetu umekuwa ndo utamaduni wenu.

Kwa kawaida nchi huwa haiwezi kutambuliwa kimataifa kama haina mipaka inayo eleweka.. Sasa kitendo cha kuiruhusu Israel kama taifa na kuikataa Palestine sio busara hatakidogo.. Wale ni ndugu ilitakiwa kutumika busara sio mabavu.

Trump alihalalisha hivyo kwa maslahi yake binafsi.. Ukizingatia kabla hata hajawa Raisi trump kuna jengo alikuwa akimiliki pale mji mkuu wa Israel ambalo baadae aliliuza, sasa basi.. hata kama mmewekwa katika hilo baraza la Usalama tunachotarajia kutoka kwenu ni usaliti kwa nchi za Afrika.
 
Back
Top Bottom