Watanzania ndio wanalipa riba kubwa ukanda wote wa SSA, duh! Kenya tuko nafuu


Hii data mtatumia mpaka mkufe. Ukweli ni kwamba FDI yote yenu ni mashine mbili za mining.

Lakini topic ya huu uzi ilikuwa kuhusu interest rates.
Foreign investors wanakuja na pesa yao kutoka kwa benki zao.

Lakini ukweli ni kuwa local investors ndio wengi zaidi kwa kila nchi. Wadogo kwa wakubwa.
Watapata wapi mikopo ya bei nafuu?
 
Foreign investors with money from abroad.
What about local investors who can only access money from local banks? Yet these are the overwhelming majority.
Ama hawa si watu?
Mie sijaelewa kwani naona kenya centre bank rate ni 9.sasa inakuaje ya local nayo ni 9??????
 
Mie sijaelewa kwani naona kenya centre bank rate ni 9.sasa inakuaje ya local nayo ni 9??????

Kuna rate ya central bank na rate ya normal banks.
Wafanyi biashara hukopa kwa normal banks. Nayo hii rate ndio ripoti inasema kwamba Tanzania iko juu kuliko nchi zingine.
 
Wewe unakwamisha juhudi za serikali ya JPM, and this is kind of "Uchochezi".

Kumbe siye ndiyo tunaongoza ....And still we expect to be a middle income country??
 
Kuna rate ya central bank na rate ya normal banks.
Wafanyi biashara hukopa kwa normal banks. Nayo hii rate ndio ripoti inasema kwamba Tanzania iko juu kuliko nchi zingine.

don't beat around the bush.
give the
1. Discount rate of central bank
2. Give the interest rate for commercial BANK.
 
Intrest rates in kenya are not market based but controled by Jubilee dictatorship.
Is that something to be proud of? My savings right now would be making 19% p.a if it werent for the law

Even before the rate cap, savings interest never exceeded 10%. Danganya toto jinga.
Only very deep pocketed individuals could negotiate higher rates, and even these would average 12%.

And I've just checked several Tanzanian banks.
Their fixed deposit interest rates are even lower than Kenya currently.
They are offering below 8%.
Despite not having an interest rate cap.
 
2014 rate was 18-21% intrest on depo was 14-19% I wount blame you coz you have no savings like me. You are a very poor kibera resident,
Depo rate in Tz right now is 5-7% points above BoT lending rate of 7% which is very fair considering JPM has let banks that are struggling to die off naturaly instead of giving them taxpayer money in a rescue plan.
 

The more you talk, the more you prove you are just another broke nigga in his bedsitter.
Why would anyone report to work if a bank can consistently give you 19% of you money every year?

10% (before tax) has been the average in Kenya for many years. After tax you take home something like 8%.
Very few people have the financial might to negotiate better rates, and even these better rates didn't get to your delusional 19%.

Also, show me one bank in Tanzania right now giving rates of 12 - 14% as you claim.
I have looked and looked, and they are offering very low rates of 7% and below.
 
Kuna rate ya central bank na rate ya normal banks.
Wafanyi biashara hukopa kwa normal banks. Nayo hii rate ndio ripoti inasema kwamba Tanzania iko juu kuliko nchi zingine.
Nijibu swali boss kenya inakopesha locally at 9per mbona iko sawa na kenya centre bank rate ????
 
mbona wenzako wanasema 14perc.??????
 
okyo tumia akili anasema local rate=9perc.but ikisearch kenya central bank rate nayo ni 9 perc..kuna uwongo hapa!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…