Watanzania ndio wanalipa riba kubwa ukanda wote wa SSA, duh! Kenya tuko nafuu

Watanzania ndio wanalipa riba kubwa ukanda wote wa SSA, duh! Kenya tuko nafuu

1.Is 9 percent a kenya centre bank rate or normal bank rate????
2.Is interest rate the only factor to attract investment? If so check the following:
world investment report/united nations conference on trade and developments(unctd) on foreign direct investments as per each country has attracted by rank
1Tz =$ 1.2b
2.ug=$ 700m
3.Kenya=$672m
4.Rwanda $366m
5.S/sudan=$80m
6.Burundi=$ 0.3m
Please,dont use data from kibera

Hii data mtatumia mpaka mkufe. Ukweli ni kwamba FDI yote yenu ni mashine mbili za mining.

Lakini topic ya huu uzi ilikuwa kuhusu interest rates.
Foreign investors wanakuja na pesa yao kutoka kwa benki zao.

Lakini ukweli ni kuwa local investors ndio wengi zaidi kwa kila nchi. Wadogo kwa wakubwa.
Watapata wapi mikopo ya bei nafuu?
 
Foreign investors with money from abroad.
What about local investors who can only access money from local banks? Yet these are the overwhelming majority.
Ama hawa si watu?
Mie sijaelewa kwani naona kenya centre bank rate ni 9.sasa inakuaje ya local nayo ni 9??????
 
Mie sijaelewa kwani naona kenya centre bank rate ni 9.sasa inakuaje ya local nayo ni 9??????

Kuna rate ya central bank na rate ya normal banks.
Wafanyi biashara hukopa kwa normal banks. Nayo hii rate ndio ripoti inasema kwamba Tanzania iko juu kuliko nchi zingine.
 
Wewe unakwamisha juhudi za serikali ya JPM, and this is kind of "Uchochezi".

Kumbe siye ndiyo tunaongoza ....And still we expect to be a middle income country??
 
Kuna rate ya central bank na rate ya normal banks.
Wafanyi biashara hukopa kwa normal banks. Nayo hii rate ndio ripoti inasema kwamba Tanzania iko juu kuliko nchi zingine.

don't beat around the bush.
give the
1. Discount rate of central bank
2. Give the interest rate for commercial BANK.
 
Intrest rates in kenya are not market based but controled by Jubilee dictatorship.
Is that something to be proud of? My savings right now would be making 19% p.a if it werent for the law

Even before the rate cap, savings interest never exceeded 10%. Danganya toto jinga.
Only very deep pocketed individuals could negotiate higher rates, and even these would average 12%.

And I've just checked several Tanzanian banks.
Their fixed deposit interest rates are even lower than Kenya currently.
They are offering below 8%.
Despite not having an interest rate cap.
 
2014 rate was 18-21% intrest on depo was 14-19% I wount blame you coz you have no savings like me. You are a very poor kibera resident,
Depo rate in Tz right now is 5-7% points above BoT lending rate of 7% which is very fair considering JPM has let banks that are struggling to die off naturaly instead of giving them taxpayer money in a rescue plan.
 
The more you talk, the more you prove you are just another broke nigga in his bedsitter.
Why would anyone report to work if a bank can consistently give you 19% of you money every year?

10% (before tax) has been the average in Kenya for many years. After tax you take home something like 8%.
Very few people have the financial might to negotiate better rates, and even these better rates didn't get to your delusional 19%.

Also, show me one bank in Tanzania right now giving rates of 12 - 14% as you claim.
I have looked and looked, and they are offering very low rates of 7% and below.
 
Kuna rate ya central bank na rate ya normal banks.
Wafanyi biashara hukopa kwa normal banks. Nayo hii rate ndio ripoti inasema kwamba Tanzania iko juu kuliko nchi zingine.
Nijibu swali boss kenya inakopesha locally at 9per mbona iko sawa na kenya centre bank rate ????
 
Wewe unachanganya madawa, hapa tunaongea kuhusu mikopo kwa walaji wa kawaida sio FDI, and of course your country attracts more FDI because of massive natural resources that are always carted away by mabeberu and leaving you poorer.
The rest of us are attracting the investment due to making the country friendly to the investors though we have no major natural resources.
mbona wenzako wanasema 14perc.??????
 
Mkuu kwenye ukweli tuwe wa kweli rate za ukopaji hapa kwetu Ni mbaya mno tuwe wa ungwana panapo madhaifu tukubali tu...

Na hizo rate hapa Ni za bot kwa mabank ya biashara lakini kama nimemuelewe mtoa maada iyo 9% Ni ya mabank kwenda kwa wananchi wa kawaida
okyo tumia akili anasema local rate=9perc.but ikisearch kenya central bank rate nayo ni 9 perc..kuna uwongo hapa!!!!!
 
Back
Top Bottom