Jomo kenyata aliwahi mwambia Nyerere kwamba anatawala Maiti.Huwa kuna kauli zinasemwa au zinaandikwa kwamba "...arudi kwao Rwanda au Burundi", "huyo atakuwa Mtusi", "Watanzania hatuko hivyo" n.k
Kwa nini inadhaniwa watu wa Rwanda na Burundi kuwa wana roho mbaya sana kuliko Watanzania?
Nini kinatufanya au kinaashira tuamini kwamba sisi ni watu waungwana au wenye roho nzuri sana kuliko raia wa mataifa mengine kama Burundi, Rwanda, Kenya na mengine mengi ya Africa?
Maiti acording to Jomo KenyataHapana sisi sio waungwana Bali ni makondoo. Hiyo sifa ya uungwana Wala cake ya Taifa huwa wanatuita Ili kutuziba ufahamu. Ni sawa na kumuona mwanamke ni mbaya wa sura, kisha ukampa sifa za uongo kuwa yeye ni bonge la mrembo. Utashangaa na yeye anavimba kichwa kweli kuwa yeye ni mrembo, kumbe wapi.