Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Huwa kuna kauli zinasemwa au zinaandikwa kwamba "...arudi kwao Rwanda au Burundi", "huyo atakuwa Mtusi", "Watanzania hatuko hivyo" n.k
Kwa nini inadhaniwa watu wa Rwanda na Burundi kuwa wana roho mbaya sana kuliko Watanzania?
Nini kinatufanya au kinaashira tuamini kwamba sisi ni watu waungwana au wenye roho nzuri sana kuliko raia wa mataifa mengine kama Burundi, Rwanda, Kenya na mengine mengi ya Africa?