mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,718
- 7,784
- Thread starter
- #21
Huo ni mtazamo wangu uliojikita kwenye experience yangu. Hoja haipigwi runguNinamzungumzia mtoa mada, kwanza ameiita jamii ya watanzania kama watu wenye akili duni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo ni mtazamo wangu uliojikita kwenye experience yangu. Hoja haipigwi runguNinamzungumzia mtoa mada, kwanza ameiita jamii ya watanzania kama watu wenye akili duni.
Mtazamo ndio umekufanya uanzishe na uzi kabisa? Unataka kuwaambukiza na wengine, sawa shikilia hapo hapo.Huo ni mtazamo wangu uliojikita kwenye experience yangu. Hoja haipigwi rungu
Ukienda twitter ndio utajionea maajabu ya Dunia,
Mfano Mo Dewji anapost kakutana na mfanya biashara fulani,Kiongozi au muwekezaji,ameongea mambo ya biashara,
Ila zinashuka comment za mambo mengine kabisa na mada husika!
Utasikia ''Tajiri tunataka umsajili Feisal,tajiri mbona team inaleta kocha wa hivi"
Halafu comment zitakazofuata,zote zitaijadili ile comment ya mwanzo, ''Kweli tajiri mlete Feisal Simba''
Umenielewa vibaya mkuu. Nafikiri hivyo.Mtazamo ndio umekufanya uanzishe na uzi kabisa? Unataka kuwaambukiza na wengine, sawa shikilia hapo hapo.
This logical fallacy is called hasty generalization.Heri ya sikukuu ya mwaka mpya, Wanajukwaa hili.
Penye ukweli uongo hujitenga. Hili naomba lieleweke vema.
Miongoni mwa low minded people in Africa ni jamii za Watanzania.
Mpaka kufikia umri huu, nakubaliana na 'phrase' hiyo hapo juu kwa sababu nilizoona kutokana na uzoefu wangu wa muda mrefu kwa jamii hizi:
1. Kutopenda kujibu vitu kwa facts.
Sifa za watu wenye akili za chini ni kupenda kuchukulia vitu kirahisi rahisi na kuleta majibu ya mepesi kwenye hoja ngumu. Watanzania ni mabingwa sana kwenye hili.
2. Kuchukia kuulizwa maswali na kukwepa mijadala ya hoja.
Watanzania kwa wingi wao, hawajazoea kuongea kwa facts na kuulizwa maswali. Wanakwepa maswali kwa sababu CPU ni ndogo, kisoda.
3. Kutopenda kujifunza mambo ya msingi na kuyafuatilia.
90% ya mikusanyiko niliyoishuhudia hususani hapa jijini, maudhui yaliyoongelewa ni ya Simba na Yanga. 90% ya wahusika wa mijadala hiyo, wote ni vijana ambao walitakiwa kuwaza vitu sensible.
Hatukatai kuna muda wa kazi na refreshment, ila kwa uzoefu wangu 90% ya time vijana wa jijini hutumia kwenye mpira na mijadala mingine ya kipuuzi ya kupoteza muda. Wakitoka hapo kwenye betting, kisha kulala. Siku imekwisha.
4. Kujificha kwenye wingi na makundi ya kijinga.
Utasikia, "sisi akina fulani tuna hela kweli, 90% ya yale maghorofa pale Kariakoo ni yetu".
Wengi ni kama nyumbu, mmoja akinyoa afro, basi wote wananyoa afro. Mitaa mingi DSM 99% ya vijana wamenyoa mnyoro unaofanana.
Wanachuo tunaotegemea wawe wataalamu wetu, nao ni low minded kwa finding yangu. Wote wana minyoro sawa.
5. Kuoneana aibu na kufumba fumba maneno.
Utasikia, " usiongee kwa sauti atasilia", "punguza ukali wa maneno" nk, ukiuliza huo ukali wa maneno unauogopea nini, jibu hakuna. No fact. Low minded hawajazoea na hawataki lugha kali.
6. Concentration kwenye vitu vya kijinga.
Unakuta unaulizwa, "kwa nini humjui Breezy?". Nonsense.
Mara, " halafu mbona hunenepi tu?". Vitu vya msingi hawaulizi. Maswali kama, "hivi katiba ni nini?", " budget model naiandaaje?" nk.
7. They are easily manipulated.
Tusiende mbali. Hapa hapa nyumbani unakuta linatokea jambo kubwa la kitaifa, ambalo ni muhimu raia wawe nalo macho na watafute updates zake kwa udi na uvumba. Ila unakuta spinning ndogo tu inawatoa mchezoni.
8. Wepesi sana ku-panic.
Akikosolewa ata panic, hata akikosolewa kwa staha. Akishauriwa ata panic. Akitukanwa ndiyo usiseme. Suluhisho la yote ni kupigana. Akili ndogo.
Na Watanzania wengi wapo hivyo.
9. Kuchunguzana kwenye vitu vya kipuuzi. Hili maelezo yake ni mengi sana.
Safari ya Taifa hili kiukweli ni ndefu.
Hata waliosoma nao hawana tofauti.Maisha ya vijana wengi ni kujadili Simba na yanga tu
Mkuu,unataka kusema tatizo ni lishe?😂😂
Tatizo mnamdharau Hashimu Rungwe.
Sera ya Ubwabwa inamajibu
Ni mtazamo tu mkuuThis logical fallacy is called hasty generalization.
Ndiyo hivyo mtazamo una hasty generalization logical fallacy.Ni mtazamo tu mkuu
Sidhani kama ni kweliKuna hoja ziko sawa lakini zipo ambazo kama unataka watu waishi namna unataka wewe kitu ambacho sio kweli
Mkuu,unataka kusema tatizo ni lishe?
😀😀