Watanzania ni 'low minded'?


πŸ˜‚πŸ˜‚

Tatizo mnamdharau Hashimu Rungwe.

Sera ya Ubwabwa inamajibu
 
This logical fallacy is called hasty generalization.

Tanzanians are not homogeneous.
 
Watu wengi wanaongelea simba na yanga toka asubuhi mpaka usiku. Hofu ni juu ya kukamatwa, kutekwa au kuteswa

Lawama zako ziende kwa vyombo vya ulinzi na usalama. Hao ndio chanzo HALISI cha Matatizo yote katika nchi hii. Kama vyombo vya ulinzi na usalama vikikataa maagizo ya ovyo toka juu na wakakataa kuibeba ccm kwenye uchaguzi kwa kuzuia wizi wa kura. Tungekuwa mbali mno.


Lawama zote ziende kwa vyombo vya ulinzi na usalama.
 
Na hata wenye facts pia wanakuag kimya , jamii yetu imegawanyika

Wajanja walio kwenye system 1-7%(hawa ndio manipulater
Wafata mkumbo (37%
Neutral (23%] hawa n wale lolote sawa ili mrad wanaishi tuu )
Wanajua vzr mambo kwa mitazamo 21% lkn wapo kimyah
Wanawez kuongea 19 % ila hawan back-up na uhakik ya kesho yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…