Watanzania ni 'low minded'?

Mfano halisi wa ulichoandika mleta sledi ni comments za waja humu kwenye sledi pendwa. Tubadilike. Binafsi nimepokea hii challenge napunguza ujinga kwa kujisomea na kufanya utafiti mdogo wa mambo kila uchao. Simu yangu siishii kuangalia Insta na Tweeter tu!. Asante kwa challenge hii muhimu. Tuache ujinga.
 
Shida ni low self efficacy...
 
Nimesoma tu heading na kuunga mkono hoja asilimia mia!
 
Natumai unaelewa kuna tafiti binafsi na isiyo 'rasmi'. Yangu ipo hivyo. Umeelewa? Au bado sina haki ya kuongea?
Sijaona figures za ku backup hizo facts bro. Lets talk numbers. And that being said, hizo ni hisia zako tu. No research no right to speak.
 
Nakubaliana na wewe.
Mimi ninatumia muda mwingi na watanzania wenye kiwango kikubwa cha elimu lakini hawapendi kuzungumzia masuala.
Ikiletwa mada inayozungumzia mada ngumu,watakwambia maisha ni mafupi hakuna haja ya kuumiza akili kujadili vitu vikubwa.
Watajadili mechi za ulaya,za kwetu hapa na baadae mambo ya zuchu,diamond na mboso.
Au atajadiliwa mama kwa uanamke wake ama wanasiasa wanao trend.
Hakuna anayejadili uchumi na fursa katika maeneo walipo na namna ya kuzitumia.
Ni kukatishana tamaa tu kuwa hiki ama kile hukiwezi.

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Lete hoja acha ushabiki.... Ww ndio mfano mzr low minded.
 
Lete hoja acha ushabiki.... Ww ndio mfano mzr low minded.
Sijapinga ila kwa kuwa Akili huna ndo maana huoni mantiki ya nilichokiandika kwa kuwa wewe si Mtanzania ndo maana unaniona low minded mleta mada hajasema baadhi ni wa Tanzania ni wote sasa kama ni watanzania wote yeye atakuwa nani? Na kama nawe ni Mtanzania umo kwenye kundi umeelewa we Matak?
 
Hatuko tayari kwa huu mjadala, are we?

Kama unafanya utafiti usio rasmi, Platform ya umbea ya nje kitu kikipostiwa utaona reaction zenye mtazamo tofauti tofauti kutoka kwa watu wanaocomment, Argument itakayoendelea hapo baina ya mtu na mtu utagundua hawa watu wako “hai” na hii ni page ya umbea/habari za kawaida sijui hali ikoje kwenye platform zao za masuala ya siasa, science etc

In contrary; Huku kwetu Post ya kitu cha msingi kabisa, utasikia sina mwanasheria, mwingine mitano tena, ilimradi vurugu . Na hata watakaojaribu kuargue basi utagundua ni kama wanaongea mawazo ya mtu mwingine ambaye ametangulia kuyatoa na anaaminika kwenye jamii/influencial, Au tuseme mtu atachukua mawazo ya ZZK ndio atayatumia kufanyia argument. Leave alone vijana wa UVCCM ni kama wao huwa wanakutana kujadili vitu na wakitoka hapo majibu yao kwenye kila mjadala yanafanana hata choice yao ya maneno.

Kuna tatizo! Moja ya tatizo ni serikali au vyombo fulani au watu fulani wameteuliwa “kucontroll narrations”

Siamini kama akili za zetu ni mfu kiasi hiki.
 
Acha cheap and holistic generalisation. Kama wewe ni 'low, defected, and poor minded' usituhusishe wote. Hayo unayosema hayana mashiko wala ushahidi. Wewe ni nani kututukana wote kana kwamba wote tu sawa na mawe au miti hata wanyama? Hata hivyo, vina tofauti kimaumbile na kimatendo mwanangu. Uzwazwa mtupu.
 
Wewe facts zako ni zipi hapo? Onesha research paper and findings juu ya said population ya vijana ili ufikie conclusion kwamba mijadala yao yote ni Simba na Yanga.
Ameendeleza lilelile la kusema sema watu bila uthibitisho.
Ni kawaida ya watu wanaojiona ni smart kujudge wengine bila data za uhakika.
Atakuletea asilimia tu, utaskia asilimia 90 ya wakazi wa dar ni masikini, asilimia kadha wa kadha ya kitu/watu fulani wako hivi..

Ukimuuliza hizo data umetoa wapi na wewe hujichangaji na hao watu, hupigizi hizo story za simba na yanga, hukai vijiweni, hujauliza washinda vijiweni .. hana majibu.
 
Huu si uungwana kabisa. Matusi ya nini?
 
Sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…