Watanzania ni 'low minded'?

Suala la kazi ndio hawataki kabisa kujishughulisha ila pesa wanapenda

Duniani hakuna kitu cha bure

Mfano kuna jamqq yqngu qlipeleka TV yqke Kariakoo ya inch 65 ilikuwa imeungua taa,hivyo vijamaa vifundi feki vikabadilisha taa halafu vikaharibu kioo jamaa akagoma kuwalipa ikawa ugomvi eti wanajitetea kwamba wameifanyia kazi siku nzima hawana pesa ya kula sasa mteja analipaje wakati TV yake haijapona na tena mmeiongezea matatizo????

Vijana mambo madogo tu hayo yanawashinda makubwa mtaweza kweli????
 
Lkn tunaweza kuwa na Safari fupi ya kimaendeleo,hata kama wachache watafanya sensitive issues,,alafu kuna mambo ambayo serikali yafaa eidha iyapige marufuku yasiwepo kabisa au iweke masharti makali sana,na kuyaratibu mara kwa mara, Ili kukiokoa kizazi hiki,mfano ni hizi kamari zilotapakaa kila mahali,alimaarufu DUBWI za kichina,inashindikana nini kuziweka maeneo maalumu yalopangwa kisheria,,pili pombe kali nazo zidhibitiwe maana zinaathiri jamii,tatu kudhibitiwa madanguro nk nk,,
 
Hiyo inatokana na culture hasahasa...
Tamaduni zetu nyingi zimebase kwenye misingi ya kijamaa, na intellectual wise hatukui kwenye hiyo misingi. Wenzetu mtoto anakua anasoma vitabu, anafundishwa kujitambua na kuexplore vitu anavyo vipenda. Huku kwetu tunakua kufuata mila na desturi ambazo still zinatufanya tuwe kama nyumbu. Hili tatizo kiini chake sio vijana, linachimbukia kwenye mifumo ya maisha na tamaduni ambazo tunakulia.
 
10. Wafia dini na kuamini story za abunuwasi za ushirikina wasizoweza kutoa proof hata moja zaidi ya hearsay stories.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ