Uchaguzi 2020 Watanzania ni waelewa sana, 2020 tunachagua maendeleo

JOYOPAPASI

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2016
Posts
250
Reaction score
409
*WATANZANIA NI WAELEWA SANA, 2020 TUNACHAGUA MAENDELEO*

Na Emmanuel J. Shilatu

Uchaguzi Mkuu 2020 unazidi kukolea na kupamba moto ambapo kila chama, kila mgombea anajinadi kivyake kwa sera zake. Hapa ndipo penyewe.

Kuna chama kinahubiri JPM asichaguliwe tena kwa sababu analeta maendeleo ya vitu pasipo maendeleo ya Watu. Hapa ndipo ulaghai wa si-hasa unapoanzia.

Hivi inawezekana vipi kuwa na maendeleo ya Watu bila ya kuwa na maendeleo ya vitu? Unatofautishaje maendeleo ya vitu na maendeleo ya Watu? Mathalani ukinunua gari hayo yatakuwa maendeleo ya kitu au ya Mtu?

Mwanasiasa huyo huyo anayepinga maendeleo ya vitu ndio huyo huyo amepanda gari toka kwake kuna lami mpaka uwanja wa ndege kupanda Air Tanzania ya kumuwahisha hotelini kufanya mkutano na Waandishi wa habari! Hapo anatengaje maendeleo ya vitu na maendeleo ya Watu? Kama haoni vitu ni maendeleo ya Watu angepanda Punda toka Kijijini kwake akaenda chini ya Miti kufanya mikutano kila mahali!

Ukweli unabakia pale pale hakuna maendeleo ya Watu bila maendeleo ya vitu. Hauwezi ukasema Watu wa nchi yangu wana maendeleo bila ya kuwa na maendeleo ya vitu kama vile miundombinu bora ya barabara, viwanja vya ndege, reli ya kisasa ya SGR, Madaraja kama ya Mfugale na ya Ubungo, Mabwawa makubwa ya kuzalisha umeme kama ule wa Mto Rufiji unaozalisha megawatts 2115; Bila ya kuwajengea Zahanati, Vituo vya afya, hospitali; Au kuwajengea shule, hostel na vyuo; Ama kuwa na maendeleo ya ndege za kisasa kama ndege 10 zilizonunuliwa na Rais Magufuli kwa kipindi cha miaka 5 tu.

Watanzania ni waelewa sana, tunajua hakuna maendeleo ya Watu bila ya kuwa na maendeleo ya vitu kama vilivyoanza kuletwa na Rais Magufuli.

Kuna chama sera yao kubwa ni "Kazi na Bata" yaani wakifika Ikulu ni mwendo wa "Bata" tu yaani starehe kwa kwenda mbele. Hilo Bata linawahusu Wapiga kura Watanzania wote ama ni wao peke yao?

Kwanza kabisa neno "Bata" tu ni neno la kihuni kama yalivyo maneno mengineyo ya kihuni yasiyo na heshima wala staha. Kutumia neno la kihuni ni kufikiria Watanzania wote ni Wahuni. Haya ni matusi makubwa yasiyokubalika.

Tanzania ni nchi ya kistaarabu na pia Ikulu sio bar, club ama Casino ya kufanyia starehe na anasa. Ni sehemu ya heshima kwa ajili ya kulijenga Taifa kwa kuliletea maendeleo.

Watanzania hatuhitaji mambo ya kihuni, Watanzania tunahitaji maendeleo.

Chagua Maendeleo
Chagua Magufuli
Chagua Chama Cha Mapinduzi (CCM)

*Shilatu E.J*
IMG-20200807-WA0109.jpg
 
-Ajira hakuna
-Nyongeza ya mishahara hakuna
-Mzunguko wa fedha umedorora

Tunachohubiriwa ni ndege,reli,Stigler na barabara! Kama waliotangulia wangekuwa kama JPM basi watanzania wangekuwa na maisha magumu sana! Só no, kura yangu JPM haipati!
 
Da, Njaa hii mbaya sana.Hv huu ni ubongp wako au,Shilatu,siyo huyu Diwani wa Kakonko au ni mwingine.Huna tofauti na askari anayeweza uza bunduki kwa slace ya mkate
Ume mquote mtu sahihi? Kama ulinilenga Mimi Naomba rudia kusoma nilichoandika na ulichojibu then jitathmini.
 
Kaburu aliijenga south africa ila alipigwa vita ,mjerumani aliijenga sana tanganyika but tulipigana nae,marekani ipo juu kwa miundombinu dunia nzima lakini wanabadili vyama uchwao.anayeponda mabeberu kavaa nguo made in beberu country
 
*WATANZANIA NI WAELEWA SANA, 2020 TUNACHAGUA MAENDELEO*

Na Emmanuel J. Shilatu

Uchaguzi Mkuu 2020 unazidi kukolea na kupamba moto ambapo kila chama, kila mgombea anajinadi kivyake kwa sera zake. Hapa ndipo penyewe.

Kuna chama kinahubiri JPM asichaguliwe tena kwa sababu analeta maendeleo ya vitu pasipo maendeleo ya Watu. Hapa ndipo ulaghai wa si-hasa unapoanzia.

Hivi inawezekana vipi kuwa na maendeleo ya Watu bila ya kuwa na maendeleo ya vitu? Unatofautishaje maendeleo ya vitu na maendeleo ya Watu? Mathalani ukinunua gari hayo yatakuwa maendeleo ya kitu au ya Mtu?

Mwanasiasa huyo huyo anayepinga maendeleo ya vitu ndio huyo huyo amepanda gari toka kwake kuna lami mpaka uwanja wa ndege kupanda Air Tanzania ya kumuwahisha hotelini kufanya mkutano na Waandishi wa habari! Hapo anatengaje maendeleo ya vitu na maendeleo ya Watu? Kama haoni vitu ni maendeleo ya Watu angepanda Punda toka Kijijini kwake akaenda chini ya Miti kufanya mikutano kila mahali!

Ukweli unabakia pale pale hakuna maendeleo ya Watu bila maendeleo ya vitu. Hauwezi ukasema Watu wa nchi yangu wana maendeleo bila ya kuwa na maendeleo ya vitu kama vile miundombinu bora ya barabara, viwanja vya ndege, reli ya kisasa ya SGR, Madaraja kama ya Mfugale na ya Ubungo, Mabwawa makubwa ya kuzalisha umeme kama ule wa Mto Rufiji unaozalisha megawatts 2115; Bila ya kuwajengea Zahanati, Vituo vya afya, hospitali; Au kuwajengea shule, hostel na vyuo; Ama kuwa na maendeleo ya ndege za kisasa kama ndege 10 zilizonunuliwa na Rais Magufuli kwa kipindi cha miaka 5 tu.

Watanzania ni waelewa sana, tunajua hakuna maendeleo ya Watu bila ya kuwa na maendeleo ya vitu kama vilivyoanza kuletwa na Rais Magufuli.

Kuna chama sera yao kubwa ni "Kazi na Bata" yaani wakifika Ikulu ni mwendo wa "Bata" tu yaani starehe kwa kwenda mbele. Hilo Bata linawahusu Wapiga kura Watanzania wote ama ni wao peke yao?

Kwanza kabisa neno "Bata" tu ni neno la kihuni kama yalivyo maneno mengineyo ya kihuni yasiyo na heshima wala staha. Kutumia neno la kihuni ni kufikiria Watanzania wote ni Wahuni. Haya ni matusi makubwa yasiyokubalika.

Tanzania ni nchi ya kistaarabu na pia Ikulu sio bar, club ama Casino ya kufanyia starehe na anasa. Ni sehemu ya heshima kwa ajili ya kulijenga Taifa kwa kuliletea maendeleo.

Watanzania hatuhitaji mambo ya kihuni, Watanzania tunahitaji maendeleo.

Chagua Maendeleo
Chagua Magufuli
Chagua Chama Cha Mapinduzi (CCM)

*Shilatu E.J*View attachment 1530022
Mtendaji wa kata anaye pigania kupata ukurugenzi.
Unajipendekeza mpaka unatia kinyaaa!
 
Ume mquote mtu sahihi? Kama ulinilenga Mimi Naomba rudia kusoma nilichoandika na ulichojibu then jitathmini.
Samahani mkuu,nilifikiri mleta thred ni Shilatu,majibu yangu yslimlenga yeye si wewe.Narudi tena ,naomba msamaha.
 
*WATANZANIA NI WAELEWA SANA, 2020 TUNACHAGUA MAENDELEO*

Na Emmanuel J. Shilatu

Uchaguzi Mkuu 2020 unazidi kukolea na kupamba moto ambapo kila chama, kila mgombea anajinadi kivyake kwa sera zake. Hapa ndipo penyewe.

Kuna chama kinahubiri JPM asichaguliwe tena kwa sababu analeta maendeleo ya vitu pasipo maendeleo ya Watu. Hapa ndipo ulaghai wa si-hasa unapoanzia.

Hivi inawezekana vipi kuwa na maendeleo ya Watu bila ya kuwa na maendeleo ya vitu? Unatofautishaje maendeleo ya vitu na maendeleo ya Watu? Mathalani ukinunua gari hayo yatakuwa maendeleo ya kitu au ya Mtu?

Mwanasiasa huyo huyo anayepinga maendeleo ya vitu ndio huyo huyo amepanda gari toka kwake kuna lami mpaka uwanja wa ndege kupanda Air Tanzania ya kumuwahisha hotelini kufanya mkutano na Waandishi wa habari! Hapo anatengaje maendeleo ya vitu na maendeleo ya Watu? Kama haoni vitu ni maendeleo ya Watu angepanda Punda toka Kijijini kwake akaenda chini ya Miti kufanya mikutano kila mahali!

Ukweli unabakia pale pale hakuna maendeleo ya Watu bila maendeleo ya vitu. Hauwezi ukasema Watu wa nchi yangu wana maendeleo bila ya kuwa na maendeleo ya vitu kama vile miundombinu bora ya barabara, viwanja vya ndege, reli ya kisasa ya SGR, Madaraja kama ya Mfugale na ya Ubungo, Mabwawa makubwa ya kuzalisha umeme kama ule wa Mto Rufiji unaozalisha megawatts 2115; Bila ya kuwajengea Zahanati, Vituo vya afya, hospitali; Au kuwajengea shule, hostel na vyuo; Ama kuwa na maendeleo ya ndege za kisasa kama ndege 10 zilizonunuliwa na Rais Magufuli kwa kipindi cha miaka 5 tu.

Watanzania ni waelewa sana, tunajua hakuna maendeleo ya Watu bila ya kuwa na maendeleo ya vitu kama vilivyoanza kuletwa na Rais Magufuli.

Kuna chama sera yao kubwa ni "Kazi na Bata" yaani wakifika Ikulu ni mwendo wa "Bata" tu yaani starehe kwa kwenda mbele. Hilo Bata linawahusu Wapiga kura Watanzania wote ama ni wao peke yao?

Kwanza kabisa neno "Bata" tu ni neno la kihuni kama yalivyo maneno mengineyo ya kihuni yasiyo na heshima wala staha. Kutumia neno la kihuni ni kufikiria Watanzania wote ni Wahuni. Haya ni matusi makubwa yasiyokubalika.

Tanzania ni nchi ya kistaarabu na pia Ikulu sio bar, club ama Casino ya kufanyia starehe na anasa. Ni sehemu ya heshima kwa ajili ya kulijenga Taifa kwa kuliletea maendeleo.

Watanzania hatuhitaji mambo ya kihuni, Watanzania tunahitaji maendeleo.

Chagua Maendeleo
Chagua Magufuli
Chagua Chama Cha Mapinduzi (CCM)

*Shilatu E.J*View attachment 1530022
Impact ya hivyo vitu haionekani kwenye maisha ya watu wa chini. Hakuna mtu maskini kule Nanyumbu anayefaidika na SGR, ndege, flyover, nk. Watu hawana maji, afya, masoko ya mazao yao, etc
 
Magufuli aongezewe tena miaka 15 ila apunguze upendeleo kwa watu wa kanda ya ziwa. Ajitahidi ku balance ugawaji wa keki ya taifa.
 
Nasikitika Sana dalalali wa accacia wa mabeberu kwenye madini yetu eti nae mgombea uraisi kwa tiketi ya chadema [emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]
 
*WATANZANIA NI WAELEWA SANA, 2020 TUNACHAGUA MAENDELEO*

Na Emmanuel J. Shilatu

Uchaguzi Mkuu 2020 unazidi kukolea na kupamba moto ambapo kila chama, kila mgombea anajinadi kivyake kwa sera zake. Hapa ndipo penyewe.

Kuna chama kinahubiri JPM asichaguliwe tena kwa sababu analeta maendeleo ya vitu pasipo maendeleo ya Watu. Hapa ndipo ulaghai wa si-hasa unapoanzia.

Hivi inawezekana vipi kuwa na maendeleo ya Watu bila ya kuwa na maendeleo ya vitu? Unatofautishaje maendeleo ya vitu na maendeleo ya Watu? Mathalani ukinunua gari hayo yatakuwa maendeleo ya kitu au ya Mtu?

Mwanasiasa huyo huyo anayepinga maendeleo ya vitu ndio huyo huyo amepanda gari toka kwake kuna lami mpaka uwanja wa ndege kupanda Air Tanzania ya kumuwahisha hotelini kufanya mkutano na Waandishi wa habari! Hapo anatengaje maendeleo ya vitu na maendeleo ya Watu? Kama haoni vitu ni maendeleo ya Watu angepanda Punda toka Kijijini kwake akaenda chini ya Miti kufanya mikutano kila mahali!

Ukweli unabakia pale pale hakuna maendeleo ya Watu bila maendeleo ya vitu. Hauwezi ukasema Watu wa nchi yangu wana maendeleo bila ya kuwa na maendeleo ya vitu kama vile miundombinu bora ya barabara, viwanja vya ndege, reli ya kisasa ya SGR, Madaraja kama ya Mfugale na ya Ubungo, Mabwawa makubwa ya kuzalisha umeme kama ule wa Mto Rufiji unaozalisha megawatts 2115; Bila ya kuwajengea Zahanati, Vituo vya afya, hospitali; Au kuwajengea shule, hostel na vyuo; Ama kuwa na maendeleo ya ndege za kisasa kama ndege 10 zilizonunuliwa na Rais Magufuli kwa kipindi cha miaka 5 tu.

Watanzania ni waelewa sana, tunajua hakuna maendeleo ya Watu bila ya kuwa na maendeleo ya vitu kama vilivyoanza kuletwa na Rais Magufuli.

Kuna chama sera yao kubwa ni "Kazi na Bata" yaani wakifika Ikulu ni mwendo wa "Bata" tu yaani starehe kwa kwenda mbele. Hilo Bata linawahusu Wapiga kura Watanzania wote ama ni wao peke yao?

Kwanza kabisa neno "Bata" tu ni neno la kihuni kama yalivyo maneno mengineyo ya kihuni yasiyo na heshima wala staha. Kutumia neno la kihuni ni kufikiria Watanzania wote ni Wahuni. Haya ni matusi makubwa yasiyokubalika.

Tanzania ni nchi ya kistaarabu na pia Ikulu sio bar, club ama Casino ya kufanyia starehe na anasa. Ni sehemu ya heshima kwa ajili ya kulijenga Taifa kwa kuliletea maendeleo.

Watanzania hatuhitaji mambo ya kihuni, Watanzania tunahitaji maendeleo.

Chagua Maendeleo
Chagua Magufuli
Chagua Chama Cha Mapinduzi (CCM)

*Shilatu E.J*View attachment 1530022

Umeandika uchafu,takataka ,very stupid mind.
Magufuli hawezi kupata kura yangu
 
Nimefurahi sana jinsi ulivyoweza kuutetea usemi wa JPM. Haya tena 2020 ni JPM tuu amalizie alivyoanza, Hao wengine wakiingia watavibomoa na kuuza skrepaili wajenge ofisi
Mnunua gari anaanza kuendelea yeye,kutokana na maendeleo aliyoyapata ndo ananunua gari na kujenga nyumba
 
Back
Top Bottom