Uchaguzi 2020 Watanzania ni waelewa sana, 2020 tunachagua maendeleo

Kwani acacia waliletwa na serikali ya chama gani? Mbona watu mnakuwaga mapoyoyo hivi?
Wewe Ni mjinga au serikali inaleta mtu? Na dalali wa wa accacia Alie tutisha tutashitakiwa miga tusipo waruhusu watupore madini Ni nani? Si lisu au hujui tukufahamishe!!!
 
Maendeleo ni pesa za walipa kodi ambao wengi ni wapinzani na wananchi wasio na vyama, maendeleo siyo Hisani za CCM, maendeleo siyo pesa binafsi toka mfukoni mwa mtukufu, maendeleo hakuna na kama yapo ni kidogo sana kulingananisha na pesa inayotumika kudidimiza demokrasia kudhoofisha kuihujumu chadema, pesa nyingi imepotelea kwenye mambo yasiyo na tija kwa Taifa
 
Nasikitika Sana dalalali wa accacia wa mabeberu kwenye madini yetu eti nae mgombea uraisi kwa tiketi ya chadema [emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]
Chadema ndiyo iliwaleta acacia Tanzania? Miaka yote wamekula na CCM tokea kuingia mpaka wanatoka na bado mkawa mnapeleka makinikia kimya kimya nje, udalali anao mgombea wa CCM alidalalia kivuko chakavucha cha mwaka 1974 cha Dsm Bagamoyo kwa bilion 8 wakati bei halisi ni dola laki tano tu, zipo wapi bilion 251 zilipotea wizara ya ujenzi kwa kuwalipa makandarasi hewa, zipo wapi trilion 1.5 wakamtoa CAG kukwepa Aibu , CCM hakuna malaika CCM ni ile ile ukoo wa panya
 
Impact ya hivyo vitu haionekani kwenye maisha ya watu wa chini. Hakuna mtu maskini kule Nanyumbu anayefaidika na SGR, ndege, flyover, nk. Watu hawana maji, afya, masoko ya mazao yao, etc
Hiyo Reli itahujumiwa na wafanyabiashara wakubwa wamiliki wa mabasi magari ya mizigo kwani uwepo wake ni ujio wa wao kufirisika hasa ukizingatia kuwa wameteseka juu ya utawala wa mtukufu kwa kuishi kama mashetani
 
Ha! Naona unaota ndoto ya mchana Kwa maamuzi hayo ndo unapoteza kabisa mpe Bora JPM kwa maendeleo 👍
Maendeleo siyo Hisani za CCM maendeleo hayaletwi na pesa binafsi toka mfukoni mwa mtukufu maendeleo ni pesa za walipa kodi ambao siyo CCM
 
Nchi ina zaidi ya miaka 50 hakuna maendeleo licha ya kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani badala ya kujenga viwanda kila kata, vyuo vikuu kila wilaya, Hosptal za rufaa kubwa zenye madaktari Bingwa kila mkoa, barabara vijijini kote, daraja toka Dsm mpaka Zanzibar na pemba iwe Taifa lenye maendeleo level ya Marekani, China, Japan, German, Rusia, UK, Oman na mataifa yote Tajiri, isingekuwa ni CCM wapo madarakani mda huu hata makao makuu ya UN yangeweza kuwa yapo Tanzania, pesa zote za maendeleo zinapotelea kwenye mambo yasiyo na Tija kwa Taifa, kudidimiza demokrasia, kuihujumu chadema kudhoofisha upinzani kutaka kurejesha mfumo wa chama kimoja, kuwalipa mabilioni cyprian Musiba le mutuz na wengineo watengeneza propaganda za kishamba shamba.
 
Ndio iliwaleta na wakawa wawakilishi wao kupitia tindu lisu
 
Nyie nyie ndio ma jobless kazi kupigania 7000 shenzy!
 
Maendeleo siyo Hisani za CCM maendeleo hayaletwi na pesa binafsi toka mfukoni mwa mtukufu maendeleo ni pesa za walipa kodi ambao siyo CCM
Ni kweli maendeleo Ni ihsani ya CCM sababu Ni chama dola nikuulizie tu swali ambalo huna jibu unadhani kila kinachofanyika Tanzania Ni chama gani kinafanya kwa mfano tu mwenye majimbo yaliyokuwa yanaongozwa na chadema Ni chama gani kimeleta iwe maji.barabara.madarasa.hospital.au chochote kile Kama sio CCM Ni nani? Hebu sema chadema ndani ya miaka hii mitano wamejenga Nini?
 
Maendeleo hayaletwi na CCM bali huletwa na zile kodi katika eneo husika chini ya halimashauri ambazo huwa na madiwani wa vyama vingi, kwanza walipa kodi wakubwa ni wapinzani na wananchi wasio na vyama, kuleta maji siyo ombi ni lazima kwani ni kodi za wananchi, majimbo ya CCM yana umasikini wa kutupwa nenda Kongwa nyumbani kwao Spika Ndungai uone tabu zilizopo, tembelea jimboni kwa kibajaji, mwigulu Nchemba na wengineo wa CCM utashangaa kuna maisha ya kutisha hakuna maendeleo kabsa CCM ni janga la kitaifa.
 
Asilimia 100 ya wanachadema hawataki kazi na hawana kazi wavivu majobles wanawaza chadema iwe chama tawala wapate kazi huu Ni ukilema
CCM hawalipi kodi cha ajabu ndiyo wafujaji wa kodi zinazolipwa na wapinzani na wananchi wasio na vyama
 
Chini ya chama gani?
 
Wewe unawezaje kujua mawazo wakati huwezi kuwaza chochote zaidi ya kukariri zidumu fikra zisizo sahihi za mwenyekiti wa CCM
Sababu sio mtoto wa miaka ya themanini nikakariri siasa wakati namezaliwa wakati wakudai uhuru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…