BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 6,373
- 16,073
- Thread starter
- #21
Umesema vema. Tumegeuka kuwa Jamhuri ya nyumbu.Mkuu mwanadamu yyte ukimuweza kwenye elimu basi umefanikiwa sana kwa mambo yalivyo mm simlaumu mwananchi yyte hii ni matokea ya mifumo ya elimu tuliyonayo na wenye mifumo ni serikali so labda viongozi waliweka mifumo hii ya elimu kimakusudi kabisa ili waendelee kutufanya majinga wao wafanye yao.
Shule za SENTI KAJAMBA ni kiwanda bora cha kuzalisha magoigoi na mazezeta.