Watanzania ni wajinga wanastahili kuibiwa

Ungeanza kudeclare interest kuwa u mmoja wa hao WAJINGA ungeeleweka kirahisi.

In other words unasema, mwerevu mmoja anawahitaji wajinga Ili wasaidiane kufikia lengo Fulani zuri, hivyo zinahitajika jitihada za mwerevu kuelimisha wajinga Kwa AKILI kubwa.

Anyway,

Kwakuwa pesa hizo zinaibwa na Watanzania hao hao, wezi wanajiona kuwa WAJANJA kati ya kundi kubwa la wajinga.

Lakini Pia Kwa kuwa ujinga ni suala la kupita, tutegemee watabadilika na kuchukua hatua.

UPUMBAVU ni kuibia ndugu zako maskini na kwenda kuficha ktk Benki za matajiri Ili pesa hizo zitumike kuendeleza ajira za watoto wa matajiri.

Furaha yangu ni kuwa, Dunia inaingia ktk Recession na pesa zitapotelea huko baada ya mabenki kufilisika.

Wangekuwa na chembe ya akili, wangezirudisha wawekeze nchini mwao.

Tusubiri.
 
Nyerere, Mandela wangelikuwa na akili kama yako sijui kama uhuru tungeupata
 
Reflection nzuri!
Inasikitisha lakini ndo ukweli !
Wasomi wengi wamekua wanafanya kinyume na taaluma zao yaani wako tayari kudefend uongo kwa ajili ya personal benefits (uchawa) kama uko tofauti huna nafasi !
Ujio wa VP wa USA ndo umesahaulisha ripoti ya CAG maisha yanaendelea mpaka ripoti nyingine ! Na hii si kwa Tanzania tu Afrika nzima
Why? Hatuna uzalendo na mapenzi ya kweli kwa nchi zetu na hata generations zetu !tunapenda kushindana nani ana mafanikio zaidi au cheo zaid!
Mwafrika kumuona mwenzake anateseka sio ishu kubwa kwake ilimradi akirudi kijijini kwao anaheshimika hii ndo faraja yake.
Uzalendo unabidi uanzie mashuleni kwamba elimu haikufanyi upate ajira au uwe tajiri (kama inavotafsiriwa sasa) bali ni nyenzo muhimu ya kuweza kuzilinda rasilimali tulizo nazo na kusimamia matumizi yake ili yalete manufaa kwa nchi .
Ukifanya tathimini ya kina watumishi wengi wa uma wanapata nafasi kupitia connections( na watu wamehalalisha kabisa “bila connection hutoboi”) wale wenye uwezo ndo wanaachwa jamii forum huku kulalamika !
Uzalendo na Ubinafsi ndo vinatupeleka tunakokwenda!
Tukiendelea kuweka watu wetu huko kwa kigezo Cha undugu na sio uwezo basi uchawa ndo litakua kimbilio la vijana wengi hususani wasomi!
Swali, kwanini inapotafunwa fedha ya kijiji wanakijiji uandamana kuhakikisha mwenyekiti anaondolewa kwenye kiti chake? Je fedha ya kijiji ni kubwa sana kuliko hiyo wizara? Au mashirika ya umma?
 
Kabisa ! Na huo ndio ukweli mchungu !! Selfishness ndio janga kuu Africa !!
 
Swali, kwanini inapotafunwa fedha ya kijiji wanakijiji uandamana kuhakikisha mwenyekiti anaondolewa kwenye kiti chake? Je fedha ya kijiji ni kubwa sana kuliko hiyo wizara? Au mashirika ya umma?
Hapo sasa !!
 
Ungeanza kudeclare interest kuwa u mmoja wa hao WAJINGA ungeeleweka kirahisi.

In other words unasema, mwerevu mmoja anawahitaji wajinga Ili wasaidiane kufikia lengo Fulani zuri, hivyo zinahitajika jitihada za mwerevu kuelimisha wajinga Kwa AKILI kubwa.

Anyway,

Kwakuwa pesa hizo zinaibwa na Watanzania hao hao, wezi wanajiona kuwa WAJANJA kati ya kundi kubwa la wajinga.

Lakini Pia Kwa kuwa ujinga ni suala la kupita, tutegemee watabadilika na kuchukua hatua.

UPUMBAVU ni kuibia ndugu zako maskini na kwenda kuficha ktk Benki za matajiri Ili pesa hizo zitumike kuendeleza ajira za watoto wa matajiri.

Furaha yangu ni kuwa, Dunia inaingia ktk Recession na pesa zitapotelea huko baada ya mabenki kufilisika.

Wangekuwa na chembe ya akili, wangezirudisha wawekeze nchini mwao.

Tusubiri.
Hakika zinaenda kupotea kama za Mobutu !
 
Back
Top Bottom