Watanzania ni wajinga wanastahili kuibiwa

Umesema vema. Tumegeuka kuwa Jamhuri ya nyumbu.

Shule za SENTI KAJAMBA ni kiwanda bora cha kuzalisha magoigoi na mazezeta.
 
Tanzania eeeh mwanangu kuwa uyaone watu wana push landrover adventure aiseeeee alafu tunalalamila acha tuibiwe tu
 
Duh. Nimekuelewa
 
Mwenye Enzi Mungu nakuomba kwa hawa watu walio sema “Watanzania ni wajinga” na mtu yeyote ambaye ametutukana Watanzania nina kuomba tena niko chini ya miguu yako na kipindi hiki ni cha Kwaresma na Ramadhan nakuomba eeh Mungu Mkuu huo ujinga na upumbavu ukawapate wao na family zao mpaka kizazi cha nne laana zote za Zaburi 35 na Zaburi 109 zikawapate wote katika uzi huu walionenea watu Watanzania vibaya!
Nina jua wazi kabisa uta tenda maana nguvu za maisha zina toka katika kunena!
Ninaamini uta watendea kama walivyo tamka yeye na family yake mpaka kizazi cha nne!
Nakushukuru eeh Rabuka maana wewe unatupa yote tuyanenayo!
Aamina[emoji2972]
 
Good observation. But solution yako ni ipi? Naingoja sana, mkuu.

NB: Ujinga siyo kipaji, bali ni ugonjwa, formidable foe (if you like).
 
Tatizo ni shule ya mawazo. Dhana ni kwamba Waafrika ni wajinga na kwa hivyo, wanapaswa kuzungumziwa kwa kupuuza kabisa utu wao. Hii peke yake haina tija na matokeo hayazai matunda... Sijawahi kukaa na kumsikiliza yeyote anaye kosa adabu na ni mnyanyasaji.

Hakuna mtu humu anayeweza kuwa anawaita watoto zake au ndugu zake wajinga kila siku halafu akategemea kupata mazuri.

Wacheni ugaidi
 
Wewe nawe mshirika wa [emoji304][emoji304][emoji304][emoji304][emoji304]

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Sukuma gang at work. Hivi Assad alifanywa nini na lile ovu?
 
Tanzania tuna kaujinga fulani
Tupo radhi kutukanana kuhusu simba na yanga Diamond na alikiba ia report ya CAG hawana muda nao
Assad alifichua wizi wa Jiwe akatolewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…