Watanzania ni wajinga wanastahili kuibiwa

Ungeanza kudeclare interest kuwa u mmoja wa hao WAJINGA ungeeleweka kirahisi.

In other words unasema, mwerevu mmoja anawahitaji wajinga Ili wasaidiane kufikia lengo Fulani zuri, hivyo zinahitajika jitihada za mwerevu kuelimisha wajinga Kwa AKILI kubwa.

Anyway,

Kwakuwa pesa hizo zinaibwa na Watanzania hao hao, wezi wanajiona kuwa WAJANJA kati ya kundi kubwa la wajinga.

Lakini Pia Kwa kuwa ujinga ni suala la kupita, tutegemee watabadilika na kuchukua hatua.

UPUMBAVU ni kuibia ndugu zako maskini na kwenda kuficha ktk Benki za matajiri Ili pesa hizo zitumike kuendeleza ajira za watoto wa matajiri.

Furaha yangu ni kuwa, Dunia inaingia ktk Recession na pesa zitapotelea huko baada ya mabenki kufilisika.

Wangekuwa na chembe ya akili, wangezirudisha wawekeze nchini mwao.

Tusubiri.
 
Nyerere, Mandela wangelikuwa na akili kama yako sijui kama uhuru tungeupata
 
Swali, kwanini inapotafunwa fedha ya kijiji wanakijiji uandamana kuhakikisha mwenyekiti anaondolewa kwenye kiti chake? Je fedha ya kijiji ni kubwa sana kuliko hiyo wizara? Au mashirika ya umma?
 
Kabisa ! Na huo ndio ukweli mchungu !! Selfishness ndio janga kuu Africa !!
 
Swali, kwanini inapotafunwa fedha ya kijiji wanakijiji uandamana kuhakikisha mwenyekiti anaondolewa kwenye kiti chake? Je fedha ya kijiji ni kubwa sana kuliko hiyo wizara? Au mashirika ya umma?
Hapo sasa !!
 
Hakika zinaenda kupotea kama za Mobutu !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…