Watanzania ni wanafiki hasa kuhusu Sakata la BSS

Platfom bila ela wapi na wapi..

Hizo nyimbo utarekord vipi..

Videos nazo jeh..?

Utaendelea kuishi kwenu..

Utakula platforms?

'Sanaa sio kiwanda cha kutengeneza maskini wenye majina makubwa '

Acha kuwaza utoto bwana mdogo..
Kuna wasanii wengine hata hiyo fursa tu yakuonekana hawapati, msanii ukishajulikana teyali suala linabaki kwako nikujituma basi na shindano la bss dhumuni lake kuu ni kumpa msanii platform ya kuonekana zawadi Ni bonus.
 
Hana maana
 
Hamna unafiki kwani alihaidi mwenyewe kwa KINYWA CHAKE mshindi anapewa mil 50 kama muungwana atimize ahadi yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…