- Thread starter
- #81
Kuna wasanii wengine hata hiyo fursa tu yakuonekana hawapati, msanii ukishajulikana teyali suala linabaki kwako nikujituma basi na shindano la bss dhumuni lake kuu ni kumpa msanii platform ya kuonekana zawadi Ni bonus.Platfom bila ela wapi na wapi..
Hizo nyimbo utarekord vipi..
Videos nazo jeh..?
Utaendelea kuishi kwenu..
Utakula platforms?
'Sanaa sio kiwanda cha kutengeneza maskini wenye majina makubwa '
Acha kuwaza utoto bwana mdogo..