Watanzania ni wanafiki Vs Diamond Platinumz

Haaa kumbe ametuchafua wengi yaan mkuu umedadavua vyema afu bifu la mond na ruge ni la kibiashara ambalo si jambo baya
MI ndo nawashangaa raia! Ndo maana kuna mtu humu nilimuuliza ikiwa alimsikia Majizo ambacho alisema kuhusu Ruge lakini naona ameingia mitini!!
 
Wengine wanahoji kwanini hajavaa suti nyeusi?

Avae nguo nyeusi kwani yeye ni mkristo sisi waislamu hatuna msiba uvae nguo nyeusi ukiona muislamu kavaa kaiga huyo hajui dini ni ng'ombe aliyekatika mkia
 
Kipindi Ruge anaumwa alifanya mengi ya roho mbaya.

Biashara bila akili nayo ni tabu. Yeye na his managers hawajui kupiga mahesabu ya dakika tano mbele.

Education ni muhimu maishani.
Yapi hayo ya roho mbaya kayafanya?yaseme
 
Mi ninayo hii hapa tunayooooooo
 
Nimesema bosi as alikuwa na say na kuweza kuamua Diamond aende kutumbuiza wapi na wapi. Usibishe huku hukuyaona.

Warudi kusoma.


Jibu jibu kama mjuaji kumbe anyau. Sitapoteza muda kukujibu lolote.
Kama alikuwa na hiyo say, walifanya nini baada ya kugoma kuwatoa wasanii wa wasafi kwenda Fiesta?! Halafu umeanza kejeli baada ya kukutoa nishai! Narudia, ACHA UONGO au kadanganyane na wenzako huko Instagram! Nimekuuliza maswali kuhusu Nenda Kamwambie na Mbagala, umeshindwa kujibu halafu bila aibu unadai eti Ruge ndo kamtoa Diamond!!

Swali lingine, taja hao wengine wenye hisa ni akina nani na share zao kila mmoja ni % ngapi! Usijifanye eti huwezi kupoteza muda wakati umeishiwa wewe!!!
 
Ruge alikuwa bosi wa Diamond pamoja na Joseph.

Joseph ataendelea kuwa bosi wake.

Mameneja walikuwa chini ya muongozo wa hao wawili.

Hata kama hao walianza haijalishi, Ruge alimpaisha one way or the other.

Ruge aliiona uwezo na mvuto wa kibiashara wa Diamond na si kumtoa.wakafanya biashara wakashindwana na Diamond kama walivyoshindwana na Jide akaamua kuondoka kuanzisha biashara zake ,kumtoa hakumtoa yeye huo ndio ukweli mwenyewe (sifa za kumtoa ni za Papa Misifa na Bob Junior ).Kusaga sio bosi wa Diamond bali ni bussiness partiner.

Eti Ruge kampaisha Diamond mbona ameshindwa kuwapaisha wasanii wake wa THT ?,jiulize kubali kataa dogo fighter na ndio maana leo Diamond amempaisha Harmonize na Rayvanny wote wana Collabo na wasanii wakubwa wa Africa.
 
Diamondplatnumz ni msanii maarufu na mwenye mafanikio makubwa kwa sasa Tanzania na hata Africa.

Kitu ambacho nimekuwa nikijiuliza, Diamond pamoja na Harmonize kulindwa na Mabaunsa zaidi ya mmoja hali ya kuwa usalama nchini kwetu si wa kutisha kihivyo kama Somalia au Mogadishu, Je hizi ni sifa za umaarufu au ni jeuri ya pesa ama ni jambo jema kwa usalama wao?

Kwa mfano jana kwenye msiba wa Ruge harmonize na Diamond wamefanya jambo jema sana kwenda. Lakini kulimuwa na haja gani ya kwenda na msululu wa Mabaunsa hali ya kuwa Pale kulikuwa na viongozi wakubwa wa serikali Raisi pamoja na Raisi msitafu mana yake ulinzi uliokuwa pale ni wakutosha sana.

Mi nadhani hawa madogo wajifunze jinsi ya kwenda misibani pale sio sehemu ya show off mbona hatukuona matajiri wengine na watu maarufu hawana mabodigadi kama vile au wao wana maadui wengi sana?

Matokeo yake wameshindwa hata kuaga mwili wa marehemu hatujui kama walizuiliwa kwa sababu ipi Lakini diamond pamoja na Management yake lazima wajue jinsi ya kwenda kwenye public mbona mbona wasanii wenzao hawana hizi drama au wao hawana hela?

Punguza sifa za umaarufu mwisho wa siku haya maisha tu hata ulindwe vipi siku kifo hakikwepeki.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Avae nguo nyeusi kwani yeye ni mkristo sisi waislamu hatuna msiba uvae nguo nyeusi ukiona muislamu kavaa kaiga huyo hajui dini ni ng'ombe aliyekatika mkia
Waislamu wanavaa suti msibani?
Hata hivyo siyo mimi niliokuwa nahoji.
 
Alivyoenda kumuuga Mzee Majuto Karimjee kaenda na Mabodyguard hamkuongea,alivyoenda kumuaga Masogange kaenda na Mabodygurd hamkuongea? Ila jana tu ndio amekukera si UNAFIKI huo,siku zote hukumuona.Mo sasa hivi analindwa na Mabodyguard mpaka msikitini.
 
Msiba ukiisha wakitaka kuondoka walinzi wake wawasubiri wapi kariakoo?halafu kwa fikra zako unadhan watekaji wanatoka wapi mpaka unadai pale palikuwa na usalama wa kutosha ?usalama huo kwa nani? Jiongeze kijji kimebadilika hiki!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…