Nuraty J
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 1,729
- 3,831
huu ndio ukweliTatizo siyo Pesa ni elimu ndogo juu ya masuala ya jamii na dunia,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huu ndio ukweliTatizo siyo Pesa ni elimu ndogo juu ya masuala ya jamii na dunia,
YEShuu ndio ukweli
Wa magogoni mbona anafanya haya haya na ni "PhD"Tatizo siyo Pesa ni elimu ndogo juu ya masuala ya jamii na dunia,
una uhakika na elimu yake ya jamii? acha ya kukopi na ku paste ya darasanWa magogoni mbona anafanya haya haya na ni "PhD"
Anachokifanya Diamond ni kuibland biashara yake ili mashabiki wa muone ni special, mashabiki wengi watakuwa na hamu ya kumuona diamond hasa jinsi anavyo lindwa, Kwa hiyo huo ni mpango wa kibiashara zaidi na Wala sio swala la usalama tu. Yaani km jinsi ulivyoshangaa ww jinsi anavyolindwa, ndivyo utakapokuwa na hamu ya kumuona live.Diamondplatnumz ni msanii maarufu na mwenye mafanikio makubwa kwa sasa Tanzania na hata Africa.
Kitu ambacho nimekuwa nikijiuliza, Diamond pamoja na Harmonize kulindwa na Mabaunsa zaidi ya mmoja hali ya kuwa usalama nchini kwetu si wa kutisha kihivyo kama Somalia au Mogadishu, Je hizi ni sifa za umaarufu au ni jeuri ya pesa ama ni jambo jema kwa usalama wao?
Kwa mfano jana kwenye msiba wa Ruge harmonize na Diamond wamefanya jambo jema sana kwenda. Lakini kulimuwa na haja gani ya kwenda na msululu wa Mabaunsa hali ya kuwa Pale kulikuwa na viongozi wakubwa wa serikali Raisi pamoja na Raisi msitafu mana yake ulinzi uliokuwa pale ni wakutosha sana.
Mi nadhani hawa madogo wajifunze jinsi ya kwenda misibani pale sio sehemu ya show off mbona hatukuona matajiri wengine na watu maarufu hawana mabodigadi kama vile au wao wana maadui wengi sana?
Matokeo yake wameshindwa hata kuaga mwili wa marehemu hatujui kama walizuiliwa kwa sababu ipi Lakini diamond pamoja na Management yake lazima wajue jinsi ya kwenda kwenye public mbona mbona wasanii wenzao hawana hizi drama au wao hawana hela?
Punguza sifa za umaarufu mwisho wa siku haya maisha tu hata ulindwe vipi siku kifo hakikwepeki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahahaaa mkuu wataku saananeuna uhakika na elimu yake ya jamii? acha ya kukopi na ku paste ya darasan
This is a new invention of curriculum unknown to our education system!elimu yake ya jamii
Hao walinzi wa viongozi hapo msibani walienda kumfuata kwake na wangemrudisha kwake maana sijui hata umeandika kitu gani!Diamondplatnumz ni msanii maarufu na mwenye mafanikio makubwa kwa sasa Tanzania na hata Africa.