Watanzania ni wanafiki Vs Diamond Platinumz

Itakuwa matako yanalia mbwata.
Maana inasemwa Maskini akipata matako hulia mbwata
 
Unamaana ujui nini huwa kinatokea pale Diamondi anapoingiaga kwenye umati? Unajua kati ya umaarufu, yaani kuwa na fun base kubwa na utajili? Kwa diamond ulinzi unaitajika tena sana na asipofanya hivyo mtaanza kutoa lawama kama za mo kipindi kile.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anachokifanya Diamond ni kuibland biashara yake ili mashabiki wa muone ni special, mashabiki wengi watakuwa na hamu ya kumuona diamond hasa jinsi anavyo lindwa, Kwa hiyo huo ni mpango wa kibiashara zaidi na Wala sio swala la usalama tu. Yaani km jinsi ulivyoshangaa ww jinsi anavyolindwa, ndivyo utakapokuwa na hamu ya kumuona live.
 
Mkuu, tafuta tu hela hata ukitaka kulindwa Hadi chooni watu wanakulinda.. So usiwashadadie namna huu kana kwamba wameanza wao.. Kwani angekuja Jiwe asingekuwa na ulinzi wake tosha hali ya kuwa kulikuwa na ulinzi kama ulivyosema..?
 
Hao walinzi wa viongozi hapo msibani walienda kumfuata kwake na wangemrudisha kwake maana sijui hata umeandika kitu gani!

Mtu katoka huko atokako ulitaka njiani kote nani amlinde na vipi wakati wa kurudi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…