Watanzania ni wanafiki Vs Diamond Platinumz

Ndioooooooooo


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Yote tisa, kumi kanishanga Mrisho Mpoto!!

Hivi Mpoto anafahamu kwamba Ruge alikuwa bosi namba mbili pale Clouds?

Hivi Mpoto anafahamu kwamba Joseph Kusaga ndie bosi namba moja pale Clouds?

Hivi Mrisho Mpoto anafahamu kwamba Diamond anamiliki 45% ya hisa za Wasafi TV na ndio CEO wa Wasafi?

Hivi Mpoto anafajhamu kwamba Joseph Kusaga, au mke wa Joseph Kusaga anamiliki 53% ya hisa za Wasafi TV na kwamba ndie majority shareholder wa Wasafi TV?

Sasa hivi huyu Mpoto anaamini kabisa kwamba Diamond na Kusaga hawakuongea in advace kuhusu kutokwenda kwake pale msibani?!

Hivi huyu Mpoto kabla ya ku-post kumtaka Diamond aende msibani anadhani Kusaga hakuwa amekubaliana na sababu za yeye kutokwenda?!

Hivi huyu Mpoto hata kama alidhani Kusaga hakukubaliana na suala la Diamond kutokwenda pale, anadhani hakumshawishi aende just for image?!

Hivi huyu Mpoto kama Kusaga alimshawishi Diamond lakini Diamond hakumsikiliza boss mwenzake, ndo angemsikiliza yeye mtembea peku peku?!

Bado sijafahamu alikuwa anatarajia ku-achieve nini hasa kwenye post yake ile!!

Kwamba, hata kama kumbe Diamond alikuwa amepanga aende siku fulani na hiyo siku inadondokea baada ya Mrisho ku-post; kwahiyo ndo angeamini kasikilizwa yeye "kama kaka", au?!
 
Kuna wengine wanasema kwa nini alivyaa suti ya bluu na sio nyeusi? Kwamba alivaa hiyo ili aonekane sana maana iko yofauti na wengi.
Jamaa kwa kweli anawachapa bakora wanafiki.
 
Huwezi kuwa mshindi kwa kumpiga adui yako aiwa amekufa, huyu jamaa atajutia maisha yake yote upuuzi wa kumfedhehesha Ruge akiwa hai, pesa imemvimbisha kichwa.. Ruge ni mshindi maana hakuwahi kujibu upuuzi wowote wala kushindana na ujinga aliendelea kuchapa kazi.
 


yaani post ya mpoto ndio umeandika maneno meeengi kama haya

ilikuuma?? wewe ni nani kwa diamond?

ni issue zao wawili. sasa wewe wa tatu mimi ndio inawezekana haujui kitu

what if diamond hakutaka kwenda na alimwambia mpoto aandike ule ujumbe? ili avutike

ni wasanii wale
 
Afadhali mvua imenyesha joto lilifika hatua mbaya sana[emoji4]
 
Kila kitu, wengi tu hata Lemutuz, hawakutegemea msiba wa Ruge ungekuwa wa kitaifa walitegemea majungu yao yangewaingia wananchi, ni kama nyoka kichaka kimechomwa wameamua kujitokeza. kama alikuwa mbaya na hana thamani mbele yake leo why ajitokeze?
Ulisema alimfedhehesha sana kipindi yupo hai. Alimfedhesha vipi?!
 
Nonsense! Na wewe ni nani hadi unipangie cha kuandika?!
 
Ulisema alimfedhehesha sana kipindi yupo hai. Alimfedhesha vipi?!
Matendo yake hata maneno aliyokuwa anayarusha kwenye mitandao, na wakati clouds wamefungiwa fiesta yeye alikuwa anafanya onesho la wasafi alirusha clip instagram akicheka kicheko cha kebehi wenye akili walielewa alichokuwa anafanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…