Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli Mkuu maana ni upuuzi tuNatamani mnaojibishana hapa nijue umri wenu.
Kuna wengine wanasema kwa nini alivyaa suti ya bluu na sio nyeusi? Kwamba alivaa hiyo ili aonekane sana maana iko yofauti na wengi.Always, diamond yeye ni mshindi kwa kuwa wabongo wengi wanajua msiba huwa unaombolezewa mtandaoni kwamba mtu akifariki lazima uposti yeye aliamua kutokuposti.
Basi wabongo waliokosa kazi za kufanya acha waanze kumtupia madongo,mara ooh analeta bifu hadi kwenye msiba mbona hajapost..me nikawa najiuliza kwani ni lazima au ni amri kupost kuhusu msiba?
Diamond kwa hekima na busara akachagua kunyamaza.
Jana mida ya saa saba alitinga msibani pale karimjee kuja kuomboleza msiba wa ruge. Aliamua kuja muda wa kawaida kabisa kama raia wengine wasio na dhahifa walivyokuja. Basi wabongo wasivyokosa maneno acha waanze tena, mara ooh mbona kachelewa kuja, ana dharau mara ooh amechelewa kuja ili aje kupata kick.
Nauliza kwani kuna sheria gani inayomtaka mtu awahi kuja msibani? Hivi diamond kwa level hizi ni wakutafuta tena kick?
Diamond always ni mshindi, jana kafika msibani sasa kazi ni kwa wambea wasiokuwa na kazi waanze kumjadili. Diamond ni kama watanzania wengine ata haki ya kuchagua ni yupi wa kumuombolezea.. Mtu sio ndugu yako, sio rafiki yako kwani ni lazima ufanya maombolezo kwenye msiba wake?
Wabongo tuwe serious basi! View attachment 1036671
Sent using Jamii Forums mobile app
Alimfedhehesha vipi mkuu?!Huwezi kuwa mshindi kwa kumpiga adui yako aiwa amekufa, huyu jamaa atajutia maisha yake yote upuuzi wa kumfedhehesha Ruge akiwa hai, pesa imemvimbisha kichwa.. Ruge ni mshindi maana hakuwahi kujibu upuuzi wowote wala kushindana na ujinga aliendelea kuchapa kazi.
Yote tisa, kumi kanishanga Mrisho Mpoto!!
Hivi Mpoto anafahamu kwamba Ruge alikuwa bosi namba mbili pale Clouds?
Hivi Mpoto anafahamu kwamba Joseph Kusaga ndie bosi namba moja pale Clouds?
Hivi Mrisho Mpoto anafahamu kwamba Diamond anamiliki 45% ya hisa za Wasafi TV na ndio CEO wa Wasafi?
Hivi Mpoto anafajhamu kwamba Joseph Kusaga, au mke wa Joseph Kusaga anamiliki 53% ya hisa za Wasafi TV na kwamba ndie majority shareholder wa Wasafi TV?
Sasa hivi huyu Mpoto anaamini kabisa kwamba Diamond na Kusaga hawakuongea in advace kuhusu kutokwenda kwake pale msibani?!
Hivi huyu Mpoto kabla ya ku-post kumtaka Diamond aende msibani anadhani Kusaga hakuwa amekubaliana na sababu za yeye kutokwenda?!
Hivi huyu Mpoto hata kama alidhani Kusaga hakukubaliana na suala la Diamond kutokwenda pale, anadhani hakumshawishi aende just for image?!
Hivi huyu Mpoto kama Kusaga alimshawishi Diamond lakini Diamond hakumsikiliza boss mwenzake, ndo angemsikiliza yeye mtembea peku peku?!
Bado sijafahamu alikuwa anatarajia ku-achieve nini hasa kwenye post yake ile!!
Kwamba, hata kama kumbe Diamond alikuwa amepanga aende siku fulani na hiyo siku inadondokea baada ya Mrisho ku-post; kwahiyo ndo angeamini kasikilizwa yeye "kama kaka", au?!
Kila kitu, wengi tu hata Lemutuz, hawakutegemea msiba wa Ruge ungekuwa wa kitaifa walitegemea majungu yao yangewaingia wananchi, ni kama nyoka kichaka kimechomwa wameamua kujitokeza. kama alikuwa mbaya na hana thamani mbele yake leo why ajitokeze?Alimfedhehesha vipi mkuu?!
Ulisema alimfedhehesha sana kipindi yupo hai. Alimfedhesha vipi?!Kila kitu, wengi tu hata Lemutuz, hawakutegemea msiba wa Ruge ungekuwa wa kitaifa walitegemea majungu yao yangewaingia wananchi, ni kama nyoka kichaka kimechomwa wameamua kujitokeza. kama alikuwa mbaya na hana thamani mbele yake leo why ajitokeze?
kweli mkuu ila anavaaa misalaba hapa unazungumziaje uislamu wakeDIAMOND ni muislam kuaga maiti haruhusiwi kuhudhuria msibani inatosha
Sent using Jamii Forums mobile app
Nonsense! Na wewe ni nani hadi unipangie cha kuandika?!yaani post ya mpoto ndio umeandika maneno meeengi kama haya
ilikuuma?? wewe ni nani kwa diamond?
ni issue zao wawili. sasa wewe wa tatu mimi ndio inawezekana haujui kitu
what if diamond hakutaka kwenda na alimwambia mpoto aandike ule ujumbe? ili avutike
ni wasanii wale
Matendo yake hata maneno aliyokuwa anayarusha kwenye mitandao, na wakati clouds wamefungiwa fiesta yeye alikuwa anafanya onesho la wasafi alirusha clip instagram akicheka kicheko cha kebehi wenye akili walielewa alichokuwa anafanya.Ulisema alimfedhehesha sana kipindi yupo hai. Alimfedhesha vipi?!
Sio msalaba tu mwili mzima umejaa matatuu,hereni,vipini na vikuku sijui huu uislamu wake ni msibani tukweli mkuu ila anavaaa misalaba hapa unazungumziaje uislamu wake
Akikujibu, ni-tag manake hili ndo nalisikia kwa mara ya kwanza leo!Alimfedhehesha vipi mkuu?!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Afadhali mvua imenyesha joto lilifika hatua mbaya sana[emoji4]