Watanzania ni wanafiki Vs Diamond Platinumz

Kila mtu na ratiba zake, hata kama ukiwahi hutamfufua cha msingi ni uwakilishi wako tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Raisi wa nchi kawahi, waziri mkuu kawahi, raisi wa awamu ya nne kawahi na mkuu wa mkoa ambae ndie mlezi wake amewahi asubuhi yeye ana ratiba gani kama watu wazito hao wote wamewahi! Malipo hua ni hapahapa duniani! Mda ndio hua mwalimu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Matendo yake hata maneno aliyokuwa anayarusha kwenye mitandao, na wakati clouds wamefungiwa fiesta yeye alikuwa anafanya onesho la wasafi alirusha clip instagram akicheka kicheko cha kebehi wenye akili walielewa alichokuwa anafanya.
Acha uzushi wewe?! Ni maneno gani alikuwa anayarusha?! Isitoshe tukio lilitokea wakati Ruge yupo hospitali! Sasa nini kinakufanya uone hayo yalikuwa madongo kwa Ruge ambae hakuwepo?

Mtu ambae alimripua Ruge bila staa ni Sallam ambae alitishia angeanika mambo yake kabla baadae hajasema, kwa heshima ya Kusaga, ameamua kukausha!
 
Tofauti ya sallam ni Diamond ni ipi katika kazi zao?
 
Tofauti ya sallam ni Diamond ni ipi katika kazi zao?
Maajabu haya!! Yaani kila kitakachofanywa na mtu wa WCB au management ya WCB basi Diamond anahusika nacho?! Ni watu wangapi wamekuwa wakimlaumu Ruge?! Uliwahi kusikia watu wakimuunganisha na Kusaga kwenye tuhuma zao, ukimwacha Jide?!

Wanaomfahamu Sallam wanajua kwamba ni mtu asiye na simile; sasa kila atakachofanya au kusema ahusishwe nacho Diamond; kivipi yaani?!
 
Tulia sallam ni meneja wa Diamond lijue hilo, kama sallam angefanya kisicho muhusu muajiri wake asingekuwa na nafasi hiyo, kuna tofauti ya Ruge na Kusaga, na sllam na diamond..wasalam, ukiwa kijakazi usijitokeze kuingilia mahusiano ya bosi wako na mabos wenzake, utatumika na sallam alikuwa akitumika., wasallm.
 
Jibu swali wewe! Nimekuuliza ina maana kila atakachofanya mtu wa WCB ahusishwe nacho Diamond?! Sallam hakusema ni issue gani! Sasa nini kimekufanya uamini alichokuwa amesema Sallam kinamuhusu Boss wake?! Halafu wala hujui lolote! Sallam aliripuka ile siku kufuatia issue ya Mose Iyobo! Sasa hiyo hoja kwamba ukiwa kijakazi usiingilie mahusiano ya mabosi inatoka wapi? Au Sallam ni kijakazi wa Mose?
 
Ushaambiwa kila mtu na ratiba zake yeye ni mwananchi wa kawaida tu kwahiyo na yeye alikuja kwa muda wake tatizo liko wapi?
Unataka kusema baada ya hao viongozi wetu kufika hakutakiwa mwananchi yeyote kuja ?
Na je ni kweli baada ya hao viongozi kuingia hakuna watu waliofuatia nyuma yao ?
Tuache unafiki kijana wa watu kaja msibani kama ilivyo kwa mtu mwingine yeyote


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na wewe ni walewale tu mataburasa
Kwaiyo msiba ulikua ni Wa kusaga?
 
Write your reply...tatizo la watanzania wengi tunapenda kuongea Bila kuwa na uhakika Wa kitu tukiongeacho. kwasasa mi sidhani Kama kuna haja ya kumlaumu yoyote. sii atujui walifanyiana nn? au ilikuaje mpaka wakagombana, atujui walifikia wapi ktk ugomvi wao, ila kwasasa itabakia ruge ameshafariki na nasibu alishiriki kutoa heshima za mwisho ktk msiba wa ruge. na bado itabakia ya kwamba ruge alikua Na ugomvi na nasibu na itabaki ivyo milele kwamba walikua na ugomvi . muhimu tuache kulazimishana vitu kila mtu ana haki ya kuchagua upande aupendao basii iwee upande wa kumlaumu nasibu au upande wa marehemu yote ni sawaa ila msilazimishe maneno yenu yawe sheria.
 
Alimfedhehesha lini? Kwan mbona huyu jamaa mnamchukia sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Matendo yake hata maneno aliyokuwa anayarusha kwenye mitandao, na wakati clouds wamefungiwa fiesta yeye alikuwa anafanya onesho la wasafi alirusha clip instagram akicheka kicheko cha kebehi wenye akili walielewa alichokuwa anafanya.
Mkuu mbona ile ilikuwa ni vita ya kibiashara. Hukuona kama ile haikuwa personal attack kwa Ruge bali ilkuwa kwa Clouds nzima?! Kipi kinafanya uamini alikuwa anamshambulia Ruge binafsi.
 
Sijajua lengo linakuwa nini kumzushia mtu maneno! Wanataka wasiokuwa na chuki nae nao wamchuki au vipi?! Inashangaza mkuu.
 
Mkuu mbona ile ilikuwa ni vita ya kibiashara. Hukuona kama ile haikuwa personal attack kwa Ruge bali ilkuwa kwa Clouds nzima?! Kipi kinafanya uamini alikuwa anamshambulia Ruge binafsi.
ulijiuliza ni kwa nini Mrisho mpoto alimtumia ujumbe Diamond ahudhurie msiba wa Ruge?
 
Kwa hiyo sio Diamond tena ni Salam?! Interesting! Anyway onesha ushahidi kwamba Diamond alikuwa anamtumia Sallam kumuattack Ruge, vingenevyo tunahesabu ni maneno tu ya kwenye vijiwe vya kahawa.
 
Ila tofauti ya Manara na Mo unaijua katika kazi zao?!
Unaijua kazi ya manager? Sallam ni lazima alinde brand ya Diamond kuliko ambavyo Diamond atatumia nguvu kuilinda, brand ikiharibika huwa wa kwanza kulaumiwa ni meneja wake..bye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…