Watanzania ni wanafiki Vs Diamond Platinumz

Na wengne wanasema et ooh kwanini hujafcha sura,kwann umekuja na bodyguards,kwanin umevaa suti

Dah wabongo sio watu [emoji119][emoji119][emoji119][emoji16][emoji16]

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Kila kitu, wengi tu hata Lemutuz, hawakutegemea msiba wa Ruge ungekuwa wa kitaifa walitegemea majungu yao yangewaingia wananchi, ni kama nyoka kichaka kimechomwa wameamua kujitokeza. kama alikuwa mbaya na hana thamani mbele yake leo why ajitokeze?
Dah!umenena vyema sanaaaaa!!!yàani waliko aibu wameipata hawakutegemea km msiba huu ungekua wa kitaifa kwa hili wao ndo wameonekana wehu haswaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naskia kazuiwa kuaga Jana [emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]wahaya sio waspoti spoti!!!unawaletea nyodo mababa wa nyodo!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaijua kazi ya manager? Sallam ni lazima alinde brand ya Diamond kuliko ambavyo Diamond atatumia nguvu kuilinda, brand ikiharibika huwa wa kwanza kulaumiwa ni meneja wake..bye.
Unaona unavyojichanganya!! Kumbe ni Sallam ndie anatakiwa kuilinda brand ya Diamond! Sasa how come tena anachofanya Sallam kiwe ni responsibility ya Diamond?!
 
Naskia kazuiwa kuaga Jana [emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]wahaya sio waspoti spoti!!!unawaletea nyodo mababa wa nyodo!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kawaletea nyodo kivipi?! Kwa sababu hakwenda msibani nyumbani, au?! Haiwezi kuwa kweli hiyo unless kama familia ya Ruge na wenyewe wana tabia za Instagram!! Haiwezi kuwa kweli kwa sababu wanafahamu Diamond hakuwa na wajibu wa kwenda msibani pale home kwao!
 
Kwa hiyo sio Diamond tena ni Salam?! Interesting! Anyway onesha ushahidi kwamba Diamond alikuwa anamtumia Sallam kumuattack Ruge, vingenevyo tunahesabu ni maneno tu ya kwenye vijiwe vya kahawa.
Naona anaruka ruka tu, wala haileweki! Unajua ukishakuwa hater, lazima nati na zenyewe ziwe zimelegea!
 
Kila kitu, wengi tu hata Lemutuz, hawakutegemea msiba wa Ruge ungekuwa wa kitaifa walitegemea majungu yao yangewaingia wananchi, ni kama nyoka kichaka kimechomwa wameamua kujitokeza. kama alikuwa mbaya na hana thamani mbele yake leo why ajitokeze?
jibu swali alimfedhehesha kivipi?
 
Hivi kuna mtu dunia hii kamfedhehesha Ruge kama Zamaradi? ushawahi kusema lolote katika hili? tena ugomvi wa chibu na Ruge/Clouds ni wa kibiashara....ule wa Zamaradi na Ruge ni wa kimapenzi hadi akamrekodi na kuirusha clip public....katika 20% za kuumwa kwa ruge zama kachangua 5%......sijui unasemaje?
 
Nimesikia Jana Daimond alikuwa naye Karimjee kwenye kuaga marehemu Ruge.

Kama Kuna mwenye picha tafadhali naomba nione hapa.
 
.[emoji3][emoji16][emoji23][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Naskia kazuiwa kuaga maiti!!!kweli si kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…