Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah!umenena vyema sanaaaaa!!!yàani waliko aibu wameipata hawakutegemea km msiba huu ungekua wa kitaifa kwa hili wao ndo wameonekana wehu haswaaKila kitu, wengi tu hata Lemutuz, hawakutegemea msiba wa Ruge ungekuwa wa kitaifa walitegemea majungu yao yangewaingia wananchi, ni kama nyoka kichaka kimechomwa wameamua kujitokeza. kama alikuwa mbaya na hana thamani mbele yake leo why ajitokeze?
Wenzake wameongozana na wake au wapenzi wao yeye kaongozana mama yake!
Unaona unavyojichanganya!! Kumbe ni Sallam ndie anatakiwa kuilinda brand ya Diamond! Sasa how come tena anachofanya Sallam kiwe ni responsibility ya Diamond?!Unaijua kazi ya manager? Sallam ni lazima alinde brand ya Diamond kuliko ambavyo Diamond atatumia nguvu kuilinda, brand ikiharibika huwa wa kwanza kulaumiwa ni meneja wake..bye.
Kawaletea nyodo kivipi?! Kwa sababu hakwenda msibani nyumbani, au?! Haiwezi kuwa kweli hiyo unless kama familia ya Ruge na wenyewe wana tabia za Instagram!! Haiwezi kuwa kweli kwa sababu wanafahamu Diamond hakuwa na wajibu wa kwenda msibani pale home kwao!Naskia kazuiwa kuaga Jana [emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]wahaya sio waspoti spoti!!!unawaletea nyodo mababa wa nyodo!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii nchi imejaa viumbe wa ajabu sana!!!Na wengne wanasema et ooh kwanini hujafcha sura,kwann umekuja na bodyguards,kwanin umevaa suti
Dah wabongo sio watu [emoji119][emoji119][emoji119][emoji16][emoji16]
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Naona anaruka ruka tu, wala haileweki! Unajua ukishakuwa hater, lazima nati na zenyewe ziwe zimelegea!Kwa hiyo sio Diamond tena ni Salam?! Interesting! Anyway onesha ushahidi kwamba Diamond alikuwa anamtumia Sallam kumuattack Ruge, vingenevyo tunahesabu ni maneno tu ya kwenye vijiwe vya kahawa.
Serious?! Kwahiyo ndo unataka kusemaje?!ulijiuliza ni kwa nini Mrisho mpoto alimtumia ujumbe Diamond ahudhurie msiba wa Ruge?
Tunashika namba wani duniani kwa umbea. Tena na hii mitandao sasa ndo kabisaaa...Hii nchi imejaa viumbe wa ajabu sana!!!
Wenzake wameongozana na wake au wapenzi wao yeye kaongozana mama yake!
Alikuwa akiongozana na mama yake kama hawara yake?
na wengine wanahoji kwa nini kavaa suti na joto lote hili la DarWengine wanahoji kwanini hajavaa suti nyeusi?
jibu swali alimfedhehesha kivipi?Kila kitu, wengi tu hata Lemutuz, hawakutegemea msiba wa Ruge ungekuwa wa kitaifa walitegemea majungu yao yangewaingia wananchi, ni kama nyoka kichaka kimechomwa wameamua kujitokeza. kama alikuwa mbaya na hana thamani mbele yake leo why ajitokeze?
Hivi kuna mtu dunia hii kamfedhehesha Ruge kama Zamaradi? ushawahi kusema lolote katika hili? tena ugomvi wa chibu na Ruge/Clouds ni wa kibiashara....ule wa Zamaradi na Ruge ni wa kimapenzi hadi akamrekodi na kuirusha clip public....katika 20% za kuumwa kwa ruge zama kachangua 5%......sijui unasemaje?Huwezi kuwa mshindi kwa kumpiga adui yako aiwa amekufa, huyu jamaa atajutia maisha yake yote upuuzi wa kumfedhehesha Ruge akiwa hai, pesa imemvimbisha kichwa.. Ruge ni mshindi maana hakuwahi kujibu upuuzi wowote wala kushindana na ujinga aliendelea kuchapa kazi.
Naskia kazuiwa kuaga maiti!!!kweli si kweli?Kawaletea nyodo kivipi?! Kwa sababu hakwenda msibani nyumbani, au?! Haiwezi kuwa kweli hiyo unless kama familia ya Ruge na wenyewe wana tabia za Instagram!! Haiwezi kuwa kweli kwa sababu wanafahamu Diamond hakuwa na wajibu wa kwenda msibani pale home kwao!