Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kifamilia zaidi ndo nini!?? Issue ipo kwenye public ww unabana pua hapa. Nani alikuambia ni ya kifamilia wakati Baba yake analalamika hiyo kitu inavyomuumiza...!!Ishu ya baba yake ni la kifamilia zaidi.
The Future is in Our Brain,Tongue's&Hand's.
Mkuu unajua tangu jamaa afe nashangaa jinsi watu wanajisahaulisha kwamba kazi alizokuwa anafanya marehemu zilikuwa zinamtukuza nani.
Umeona mkuu.
The Future is in Our Brain,Tongue's&Hand's.
tukiachana na yoote ya ruge hususani kwetu ambao hayatuhusu ila tunafuatilia, kauli yako ya "the future is in our brains, tongue and hands" , is a very good statementSalaam Wakuu.
Tukiachana na ishu ya lowassa kurudi ccm,maana si mwanaharakati na ameshindwa mikikimikiki ya kule,maana kazeeka tayari kule kuna hitaji damu ya moto inayotembea kwa speed Sana sio yeye,kwaio kashindwa kaona arudi kwa wazee wenzie kwenye maisha simple.
Wakati tukiendelea na maombolezo ya ndugu yetu boss ruge,kuna mengi yametukia na ya kushangaza Sana,
1.Clouds media wameonesha nguvu yao katika promo na kufikia kuonesha kuwa msiba huu ni wa kitaifa,na kulazimisha kila mtu aonekane kaguswa,msiba uko very over rated.
2.Tumeona wasanii na watu wengi wakijifanya kuguswa na kifo cha marehemu na kuposti kwenye social medias lakini hadi sasa hawajagusa msibani kwa Ruge,wengine wapo dar hapohapo,Why?
3.Lakini tumeona wasanii,wanasiasa,wadau na hata wananchi wa kawaida wakimnyooshea Sana vidole diamond platnumz Pekee,kwamba kwanini hajaposti neno R.I.P ruge tangu first day, wakati wengine wamefanya hivyo,na wamesahau kuwa msiba haujaisha.why diamond na sio wengine mfano jide?
4.watanzania ni wanafiki Sana,wakati Cloud's media kupitia ruge wakifungia nyimbo za diamond na Kuanzisha vita na wasafi walikuwa wapi kuzima bifu lile na kumshauri ruge na media ile,kuacha ile tabia ya Kuanzisha bifu na diamond?
5.Endapo nguvu hii ya kumuita diamond msibani ingetumika kuwakemea Cloud's fm zidi ya chuki zao,inawezekana Leo diamond angekuwa kisha posti R.I.P, au watanzania hawa hawa walikuwa hawajui hayo? Au ni kwamba clouds wanahaki sana kufanya wanachojisikia na kuachwa na si diamond na wasafi kiujumla?
6.wadau wajifunze kukemea uovu na vita Kama Hivi,maana nguvu hii iliyotumika ingetosha kuwaogopesha Cloud's na wangepatana na diamond,lakini walikaa kimya utazani hawapo au diamond alikuwa hana haki ni clouds tu wanapaswa kuabudiwa na wote? Au ruge R.I.P na Cloud's wanaogopwa kusemwa Au social media hazikuwepo?.Na kuna baadhi ya wasanii walifurahia ban ile kwa wasafi wakijua jamaa atapotezwa wabaki wao,maana anawatesa kawaacha mbali.
Watanzania ni vema wakakaa kimya juu ya hili maana walishindwa kuwapatanisha marehemu akiwa hai,diamond aachwe afanye kadri atakavyoguswa.
The Future is in Our Brain,Tongue's&Hand's.
Lakini nadhani umeelewa maada inawalenga kina nani?mara nyingi ni wale wa town na hasa wenye smartphones na hata wenye smart vijijini.Acha ku- Generalize weee, unaposema Watanzania unamaanisha hadi bibi kizee alie koromije huko porini nae ni mnafiki....
Ungesema baadhi ya Raia ni wanafiki hapo ningekuelewa sana.
Sent from my GT-N7000 using Tapatalk
[emoji23] [emoji23] aisee ni kweli.Sasa na wao si wangejinyanyua yeye alienda shule akawa anabinu mbinu na wao wangebinu kipaji cha mtu huwezi kukizima leo Pierre kawa star kwa kipaji cha pombe tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Inakera Sana,lakini jamaa kaenda bado wanaendelea kuponda eti kachelewa Mara eti Mbona kaenda kavaa suti Kama anaenda kuoa duh.Hao ndo wanaitwa FAMILIA YA RUGE NJE YA MUTAHABA.
yaani wana hasira kushinda ndugu wa damu wa ruge.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseee Asante Sana mkuu nafarijika kusikia hivyo be blessed.tukiachana na yoote ya ruge hususani kwetu ambao hayatuhusu ila tunafuatilia, kauli yako ya "the future is in our brains, tongue and hands" , is a very good statement
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado hawajapoa eti Mbona kavaa suti Kama anaenda kuoa,mara Mbona kachelewa na eti Mbona alikiba alijificha sura yeye hajafanya ivyo na kaenda na walinzi.Chibu kashachana mikeka ya watu wa instagram.
View attachment 1035978