Watanzania ni wanafiki Vs Diamond Platinumz

Ishu ya baba yake ni la kifamilia zaidi.

The Future is in Our Brain,Tongue's&Hand's.
Kifamilia zaidi ndo nini!?? Issue ipo kwenye public ww unabana pua hapa. Nani alikuambia ni ya kifamilia wakati Baba yake analalamika hiyo kitu inavyomuumiza...!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha ku- Generalize weee, unaposema Watanzania unamaanisha hadi bibi kizee alie koromije huko porini nae ni mnafiki....

Ungesema baadhi ya Raia ni wanafiki hapo ningekuelewa sana.

Sent from my GT-N7000 using Tapatalk
 
hivi hakuna mwnjf alie eneo la tukio atujuze mubashara nini kinendelea -kuaga
 
Umeona mkuu.

The Future is in Our Brain,Tongue's&Hand's.

Sasa na wao si wangejinyanyua yeye alienda shule akawa anabinu mbinu na wao wangebinu kipaji cha mtu huwezi kukizima leo Pierre kawa star kwa kipaji cha pombe tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Salaam Wakuu.

Tukiachana na ishu ya lowassa kurudi ccm,maana si mwanaharakati na ameshindwa mikikimikiki ya kule,maana kazeeka tayari kule kuna hitaji damu ya moto inayotembea kwa speed Sana sio yeye,kwaio kashindwa kaona arudi kwa wazee wenzie kwenye maisha simple.

Wakati tukiendelea na maombolezo ya ndugu yetu boss ruge,kuna mengi yametukia na ya kushangaza Sana,

1.Clouds media wameonesha nguvu yao katika promo na kufikia kuonesha kuwa msiba huu ni wa kitaifa,na kulazimisha kila mtu aonekane kaguswa,msiba uko very over rated.

2.Tumeona wasanii na watu wengi wakijifanya kuguswa na kifo cha marehemu na kuposti kwenye social medias lakini hadi sasa hawajagusa msibani kwa Ruge,wengine wapo dar hapohapo,Why?

3.Lakini tumeona wasanii,wanasiasa,wadau na hata wananchi wa kawaida wakimnyooshea Sana vidole diamond platnumz Pekee,kwamba kwanini hajaposti neno R.I.P ruge tangu first day, wakati wengine wamefanya hivyo,na wamesahau kuwa msiba haujaisha.why diamond na sio wengine mfano jide?

4.watanzania ni wanafiki Sana,wakati Cloud's media kupitia ruge wakifungia nyimbo za diamond na Kuanzisha vita na wasafi walikuwa wapi kuzima bifu lile na kumshauri ruge na media ile,kuacha ile tabia ya Kuanzisha bifu na diamond?

5.Endapo nguvu hii ya kumuita diamond msibani ingetumika kuwakemea Cloud's fm zidi ya chuki zao,inawezekana Leo diamond angekuwa kisha posti R.I.P, au watanzania hawa hawa walikuwa hawajui hayo? Au ni kwamba clouds wanahaki sana kufanya wanachojisikia na kuachwa na si diamond na wasafi kiujumla?

6.wadau wajifunze kukemea uovu na vita Kama Hivi,maana nguvu hii iliyotumika ingetosha kuwaogopesha Cloud's na wangepatana na diamond,lakini walikaa kimya utazani hawapo au diamond alikuwa hana haki ni clouds tu wanapaswa kuabudiwa na wote? Au ruge R.I.P na Cloud's wanaogopwa kusemwa Au social media hazikuwepo?.Na kuna baadhi ya wasanii walifurahia ban ile kwa wasafi wakijua jamaa atapotezwa wabaki wao,maana anawatesa kawaacha mbali.

Watanzania ni vema wakakaa kimya juu ya hili maana walishindwa kuwapatanisha marehemu akiwa hai,diamond aachwe afanye kadri atakavyoguswa.

The Future is in Our Brain,Tongue's&Hand's.
tukiachana na yoote ya ruge hususani kwetu ambao hayatuhusu ila tunafuatilia, kauli yako ya "the future is in our brains, tongue and hands" , is a very good statement

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chibu kashachana mikeka ya watu wa instagram.
lll.PNG
 
Acha ku- Generalize weee, unaposema Watanzania unamaanisha hadi bibi kizee alie koromije huko porini nae ni mnafiki....

Ungesema baadhi ya Raia ni wanafiki hapo ningekuelewa sana.

Sent from my GT-N7000 using Tapatalk
Lakini nadhani umeelewa maada inawalenga kina nani?mara nyingi ni wale wa town na hasa wenye smartphones na hata wenye smart vijijini.

The Future is in Our Brain,Tongue's&Hand's.
 
Sasa na wao si wangejinyanyua yeye alienda shule akawa anabinu mbinu na wao wangebinu kipaji cha mtu huwezi kukizima leo Pierre kawa star kwa kipaji cha pombe tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] aisee ni kweli.

The Future is in Our Brain,Tongue's&Hand's.
 
Hao ndo wanaitwa FAMILIA YA RUGE NJE YA MUTAHABA.
yaani wana hasira kushinda ndugu wa damu wa ruge.

Sent using Jamii Forums mobile app
Inakera Sana,lakini jamaa kaenda bado wanaendelea kuponda eti kachelewa Mara eti Mbona kaenda kavaa suti Kama anaenda kuoa duh.

The Future is in Our Brain,Tongue's&Hand's.
 
tukiachana na yoote ya ruge hususani kwetu ambao hayatuhusu ila tunafuatilia, kauli yako ya "the future is in our brains, tongue and hands" , is a very good statement

Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseee Asante Sana mkuu nafarijika kusikia hivyo be blessed.

The Future is in Our Brain,Tongue's&Hand's.
 
Always, diamond yeye ni mshindi kwa kuwa wabongo wengi wanajua msiba huwa unaombolezewa mtandaoni kwamba mtu akifariki lazima uposti yeye aliamua kutokuposti.

Basi wabongo waliokosa kazi za kufanya acha waanze kumtupia madongo,mara ooh analeta bifu hadi kwenye msiba mbona hajapost..me nikawa najiuliza kwani ni lazima au ni amri kupost kuhusu msiba?
Diamond kwa hekima na busara akachagua kunyamaza.

Jana mida ya saa saba alitinga msibani pale karimjee kuja kuomboleza msiba wa ruge. Aliamua kuja muda wa kawaida kabisa kama raia wengine wasio na dhahifa walivyokuja. Basi wabongo wasivyokosa maneno acha waanze tena, mara ooh mbona kachelewa kuja, ana dharau mara ooh amechelewa kuja ili aje kupata kick.

Nauliza kwani kuna sheria gani inayomtaka mtu awahi kuja msibani? Hivi diamond kwa level hizi ni wakutafuta tena kick?

Diamond always ni mshindi, jana kafika msibani sasa kazi ni kwa wambea wasiokuwa na kazi waanze kumjadili. Diamond ni kama watanzania wengine ata haki ya kuchagua ni yupi wa kumuombolezea.. Mtu sio ndugu yako, sio rafiki yako kwani ni lazima ufanya maombolezo kwenye msiba wake?

Wabongo tuwe serious basi!
IMG_20190303_092338_426.jpeg

Back
Top Bottom