Watanzania popote tulipo tujichangishe ili tumpe Tuzo ya Ujasiri Mange Kimambi



Duh! Mtu anayeishi third World Tanzania, achange fedha kumpelekea mtu anayeishi first World USA, I mean, GDP per capital TZ 1000 USD vs GDP per capital USA 50 000 USD!
 
Walisema akaunti yake imefungiwa jamani alafu yupo
 
WEWE una lolote,umebadilisha gear angani baada ya kusikia Mange bado anayo account yake and its up and running-umemsema vibaya and you know she is gonna come for your ass-si unamjua yeye ufukua mpaka kaburi la great grandfather na by the time amemaliza na wewe anaacha mgogoro mkubwa katika ukoo-revelations zake lazima ziwasambaratishe
 

Usilolijua ni sawa na usiku wa Giza na Mtu anahitaji ' upeo ' mkubwa sana kuweza kumjua na kumuelewe vizuri GENTAMYCINE. Pole sana Mkuu ila narudia tena kusema siku zote ' usilolijua ni sawa na usiku wa Giza '. Kazi Kwako.
 
Victoire njoo huku GENTAMYCINE anakusema

Sema umenichekesha sana leo umeunga mkono kuponda halafu ilivyorudi hewani ukarudi nayo ama kweli wewe unatoka puerto rico

Huyo ndiyo GENTAMYCINE inahitaji ' akili ' nyingi mno kuweze kumuelewa ipasavyo vinginevyo atakuchanganya hadi kukufanya uwehuke / uchizike bure!
 
Kwa kweli Dada huyu hata mm amenivumbua mambo mengi sana juu ya serikali hii yaliyokuwa nyuma ya pazia wanayaficha na ktk hali ya kawaida ni ngumu kuyajua...[emoji120] [emoji120]
Tatizo avatar yako sasa unakata mti huku umeukalia
 

Umemaliza au bado?
 
we Lumumba buku 7 zama hizi kumpenda Mange ni sawa na magu kumpenda Lissu
 
Kama kuna anayemuamini Mange, asubiri Magufuli aajichanganye halafu amteue Wema kuwa Mbunge au nafasi yoyote ile kisha turudi tena hapa!!!

Wanaomsifia Mange ni wageni wa social media na wameanza kumfahamu huyu mama (mwenyewe nadhani angependa aitwe huyu dada) baada ya JPM kuingia madarakani.

Mange huyu huyu ambae hata Makonda alipotaja orodha ya "wauza" mihadarati alimshangilia kweli kweli kwa sababu tu walitajwa wabaya wake lakini siku alivyotajwa Wema Sepetu ikawa nongwa!!!!
 
we Lumumba buku 7 zama hizi kumpenda Mange ni sawa na magu kumpenda Lissu

Sijawahi kuona Mtu mwenye ' akili ' za ' Kutukuka ' kama Wewe Mkuu. Ama hakika Siku zote ' usilolijua ni sawa na usiku wa Giza '.
 
Kiukweli hela ya mchango sitokuwa nayo ila Mange angejua nnavyompenda aisee mngempa zawadi ya mimi apa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…