Watanzania popote tulipo tujichangishe ili tumpe Tuzo ya Ujasiri Mange Kimambi

Watanzania popote tulipo tujichangishe ili tumpe Tuzo ya Ujasiri Mange Kimambi

View attachment 611076

manaharakati alimchangishia lisu maelfu ya dollars leo lissu kaamka na kaanza mazoez aibu kuu kwa wale wasiojulikana
Na muda huu mh kamanda wa anga aka asiyenunulika anamwaga sumu ofisi kuu ya chama mtaa wa ufipa kuhusu hali na mwenendo wa Rais wa sheria tanzania.... [HASHTAG]#Pray4Lissu[/HASHTAG]
 
Tatizo kuu la Mange hayuko focused ....akikuchukia kwa kumnyima ugali atakutukana hadi unavyotembea ....kitu kimoja ambacho vijana wetu wengi ni vipofu ni kushangilia kila anayemponda wasiyempenda ....mbaya zaidi hawajifunzi ....waliokuwa wanamponda Kikwete sio wanaomponda JPM ....waliosimama na Kikwete kama akina Wassira tuliwachukia kupitiliza lakini leo bila aibu tunawaona mashujaa kwasababu wamesema tunayopenda kusikia ....hamtoifuta CCM namna hii ....JPM atatawala 10yrs then atashinda mtu mwingine wa CCM for SURE ...another 10yrs ....20yrs without changing any strategies CCM itakuwepo tu .....kama mtaendelea kuruhusu gia za angani bila kuhoji ni kuruhusu kuwa wapinzani wa kudumu (pengine ni faida kwa wengine) ...
 
B
Nahitaji Mtu au Watu ambao wataweza kuratibu vizuri kabisa hili zoezi la kuweza kuchangishana Pesa za Kutosha ili tumnunulie Zawadi kubwa na ya thamani sana huyu Mwanadada ambaye kwakweli nampenda hadi nahisi Kuchanganyikiwa aitwae Mange Kimambi anayeishi huko Majuu / Mamtoni / Marekani.

Kwakweli anafanya Kazi kubwa sana ya Kupambana na Serikali ili kuweza kutukomboa Sisi Watanzania kutokana na Rasilimali zetu kuibiwa na Wajanja wachache lakini pia anasaidia mno kutupa Sisi taarifa Nyeti ambazo tulikuwa hatuzijui kuhusiana na kinachoendelea Tanzania hasa Serikalini.

Napendekeza kila Mtanzania achangie Shilingi Elfu 50 ( 50,000/ Tsh ) ili angalau hata ikipatikana Bilioni 1 au 3 hivi tuweze kumuuliza Mange Kimambi anataka Zawadi gani hasa kutoka Kwa Sisi Watanzania tunaompenda ila hasa hasa Mimi GENTAMYCINE ninayempenda kuliko kitu kingine chochote kile ili aweze kuendelea kutunyofolea ' Siri ' za Serikalini kama kawaida yake.

Kuna Watu wabaya leo ( siyo GENTAMYCINE ) wamemzushia vibaya kuwa sijui kuna ' tatizo ' limemkumba naomba sana washindwe na walegee popote walipo kwani hao hawana nia nzuri kabisa na Mange Kimambi wetu. Walaaniwe vibaya sana wale wote ambao walishabikia na kupayukia kuwa ' Akaunti ' ya Mange Kimambi imefungwa kwani hao ndiyo maadui wakubwa wa Tanzania yetu hii.

Mange Kimambi apewe Tuzo / Zawadi jamani.

Nawasilisha.
Inaf

Binafsi cwez kufanya huo upuuzi hata ingekua 500,kasaidia nn matusi au?!
 
yaani mimi hata ya kula ni kizungumkuti leo nichangie tena mtu diaspora tena alienda kwa miguu yake isitoshe si mgonjwa!!!!!....watu wa thread kama hizi utakuta mama yake kijijini ni mgonjwa hata hela ya panadol hana lkn yupo radhi ampotezee yeye bora mange apate bilioni
So sad
 
Kama kuna anayemuamini Mange, asubiri Magufuli aajichanganye halafu amteue Wema kuwa Mbunge au nafasi yoyote ile kisha turudi tena hapa!!!

Wanaomsifia Mange ni wageni wa social media na wameanza kumfahamu huyu mama (mwenyewe nadhani angependa aitwe huyu dada) baada ya JPM kuingia madarakani.

Mange huyu huyu ambae hata Makonda alipotaja orodha ya "wauza" mihadarati alimshangilia kweli kweli kwa sababu tu walitajwa wabaya wake lakini siku alivyotajwa Wema Sepetu ikawa nongwa!!!!

ndio maana mange anamponda sana zari kumbe mange ovyoo
 
Una maananisha huyu.?? Kama jibu ni ndio. Bac chadema tumeishiwa vijana wenye maarifa.
d20904858bf7d97ba4f2ed6e30420a38.jpg
 
Back
Top Bottom