Watanzania popote tulipo tujichangishe ili tumpe Tuzo ya Ujasiri Mange Kimambi

kama ana watu 1.4m wakitoa nusu tu ni 35biloni
wakitoa robo ni 17.5 bilioni
wakitoa basi robo ya robo ya viwers wake ni 4 bilion
wakitoa laki tu 6 bilioni
Alikuwa na ndoto kama hizo akafungua akaunti gofundme.com. Wachangiaji kiduchu walimfanya aifunge hiyo akaunti. Mmeanza kumdanganya tena?
 
Nitakuwa sijautendea uzalendo wangu kwa taifa just kwa kuchanga tena kwa mtu tapeli na mtu anatumika kuichafuwa Tz. Mange anapaswa fikishwa mahakamani a prove aliosema kwa raos wetu mpenda. Inshort Mange ni muhalifu wakimataifa
Well said
 
yule hana shida na hera we acha atupe vitu si tuburudike
 
Mwanaume kua na tabia za kimama ni kokoro! mtoa mada una tabia za wanawake wazifanyazo hasa wanapokua wamekalia kibao cha mbuzi..shame on u! macho yamekuvimba kama unajamba
Sasa we mbona hayo matusi ndo tabia za kimama!
 
kwa matusi atapewa tuzo ya jiti.... nawe jama punguani sijuw wew ni mtoto wa kike ao mtoto sio risk manaak huwaga hakuna anayekuelewa
 
Ni uchokozi, ila kwanini achangiwe, kwanini asije kupambana kama kina Bulaya na Halima Mdee?!
Aje tu, sidhani kama atapata kashkash kivile..
 
Wewe,sio sie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…