Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuwa na ndoto kama hizo akafungua akaunti gofundme.com. Wachangiaji kiduchu walimfanya aifunge hiyo akaunti. Mmeanza kumdanganya tena?kama ana watu 1.4m wakitoa nusu tu ni 35biloni
wakitoa robo ni 17.5 bilioni
wakitoa basi robo ya robo ya viwers wake ni 4 bilion
wakitoa laki tu 6 bilioni
HahahahaUna maananisha huyu.?? Kama jibu ni ndio. Bac chadema tumeishiwa vijana wenye maarifa.![]()
Well saidNitakuwa sijautendea uzalendo wangu kwa taifa just kwa kuchanga tena kwa mtu tapeli na mtu anatumika kuichafuwa Tz. Mange anapaswa fikishwa mahakamani a prove aliosema kwa raos wetu mpenda. Inshort Mange ni muhalifu wakimataifa
yule hana shida na hera we acha atupe vitu si tuburudikeNahitaji Mtu au Watu ambao wataweza kuratibu vizuri kabisa hili zoezi la kuweza kuchangishana Pesa za Kutosha ili tumnunulie Zawadi kubwa na ya thamani sana huyu Mwanadada ambaye kwakweli nampenda hadi nahisi Kuchanganyikiwa aitwae Mange Kimambi anayeishi huko Majuu / Mamtoni / Marekani.
Kwakweli anafanya Kazi kubwa sana ya Kupambana na Serikali ili kuweza kutukomboa Sisi Watanzania kutokana na Rasilimali zetu kuibiwa na Wajanja wachache lakini pia anasaidia mno kutupa Sisi taarifa Nyeti ambazo tulikuwa hatuzijui kuhusiana na kinachoendelea Tanzania hasa Serikalini.
Napendekeza kila Mtanzania achangie Shilingi Elfu 50 ( 50,000/ Tsh ) ili angalau hata ikipatikana Bilioni 1 au 3 hivi tuweze kumuuliza Mange Kimambi anataka Zawadi gani hasa kutoka Kwa Sisi Watanzania tunaompenda ila hasa hasa Mimi GENTAMYCINE ninayempenda kuliko kitu kingine chochote kile ili aweze kuendelea kutunyofolea ' Siri ' za Serikalini kama kawaida yake.
Kuna Watu wabaya leo ( siyo GENTAMYCINE ) wamemzushia vibaya kuwa sijui kuna ' tatizo ' limemkumba naomba sana washindwe na walegee popote walipo kwani hao hawana nia nzuri kabisa na Mange Kimambi wetu. Walaaniwe vibaya sana wale wote ambao walishabikia na kupayukia kuwa ' Akaunti ' ya Mange Kimambi imefungwa kwani hao ndiyo maadui wakubwa wa Tanzania yetu hii.
Mange Kimambi apewe Tuzo / Zawadi jamani.
Nawasilisha.
Sasa we mbona hayo matusi ndo tabia za kimama!Mwanaume kua na tabia za kimama ni kokoro! mtoa mada una tabia za wanawake wazifanyazo hasa wanapokua wamekalia kibao cha mbuzi..shame on u! macho yamekuvimba kama unajamba
Wewe,sio sieyaani mimi hata ya kula ni kizungumkuti leo nichangie tena mtu diaspora tena alienda kwa miguu yake isitoshe si mgonjwa!!!!!....watu wa thread kama hizi utakuta mama yake kijijini ni mgonjwa hata hela ya panadol hana lkn yupo radhi ampotezee yeye bora mange apate bilioni
Badalaa mkae Chini mchangishe kuwasaidia watoto wa Masikini mnamchangia Kahaba